Masoud Kipanya na Fina Mango warejea Clouds FM na kuongoza Power Breakfast

Bonge la suprise.. Nadhani wameingia mkataba mwingine mnono.. Bonge la combination! Wanasema vita akili.. Kama unaweka mzigo mezani wa kueleweka kwanini vijana wasipige kazi...isije ikawa ni kwa muda tu.
 
Kesho katika Power Breakfast msishangae kuona PJ na Hando wanafanya mambo yao. Lengo ni kusherehekesha akili za wasikilizaji siku ya wajinga

Hata mimi nawaza kama wewe, BTW Clouds matangazo ni mengi mpaka inaharibu radha.
 
Hando alishawahi kuwasaliti wenzako ie Phina na Kipanya sasa ni zamu yake,kama alifikiri kuwa yeye ni mungu Mdgo clouds basi imekula kwake
ee bwana wewe uko na mimi, hando ni bonge la mtangazaji jinga, yaani na alisubiriwa siku hii hiiya wajinga akajiunge nao,, nakumbuka sana hando alipokuwa studio wenzake wakafanya fiongo moja, wakatemwa, hando akala kona....lkn siku ya leo fina na masoud wamenikumbusha enzi zao
 
Kipindi kimepooza sana,Bora walivyokua wazee sugu kina Hando na PJ.
 
Kipanya huyu jamaa kitambo Sana hivi wale nyukis djs wapo nelly,venture,Steve b etc ???
 
Kipindi kile pia walikua wakibebwa Na sauti ya the late Hamina Chifupa R.I.P.
 
ZAMANI WALIKUA WATU NNE KIPANYA, AMINA CHIFUPA,HANDO NA MANGO FINA.
 
Kwa ufupi leo PB imepwaya sana! PJ na Hando walikuwa wananogesha sana hili pindi! Magazeti yamesomwa utafikri Gabriel Zakaria wa TBC!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…