Masoud Kipanya na Fina Mango warejea Clouds FM na kuongoza Power Breakfast

Hando ni tope kabisa. Akaombe kazi kwa Laigwanani. Bado wamtumbue Kibonde kwenye Jahazi na kumrudisha Captain Gardner
 
Ni kweli nimewaona wako nje ya jengo la clouds wanapiga
 
...weeeh acha kukalili na hizo alili zako za kindezindezi.... kwani chadema na lowassa ilikuaje? mbona hukuja hapa kutoa mapovu zaidi ya kurukaruka na kuzungusha mikono....
 
nimeongea na mtu wa ndani kabisa pale clouds na kuujua ukweli......Pj na Hando pamoja na ulevi wao na utov wa nidhamu EFM imewaona na kuwatia kiburi cha mshahara mnono maradufu...so they are going there!!!ila Majey hatavumilia ujinga wowote mtakaokua nao kina Hando na PJ atawatimua tu!! Yule yupo kibiashara zaidi kulko kwa Ruge ambaye alikua anawalea kama ndugu....

nimependa mapinduzi ya Kipanya na Fina...ndio washaingia hivyo!!! its confirmed
 
Hawa watu niliwamisi sana karibuni sana power breakfast watu wanaweza kusema hili na lile lakini nyie mmeletwa kwa mikataba minono Fina from abroard na Kipanya from Private owned company pigen hela
Fina katoka abroad ipi mkuu?! sio kila alie olewa na mzungu yuko nje ya Tanzania. fina anapiga mzigo kwenye kampuni yake hapo Dar.
 
Kama wamerudi tena nitawashangaa,hawawezi kusonga mbele?

Mmiliki wa efm alikuwa DJ wa radio Leo anamiliki radio.
...we kweli kituko... kwahiyo ndo unataka kudanganya watu kuwa radio kaitoa kwenye u dj? tehtehteh kamuulize yule mama wa maisha basement ni wapi huyo majizo kapata mtaji ukiambatana na minjingu juu yake... watu wanaishi kwa kula vidonge kisa pesa alafu we ndo inakuja kuwashauri wengine wafate njia kama hizo?.... jinga kwelikweli...
 
Pengine hakujua jamani..!
 
Ruge naona kawa nyoko kweli...ye si alidai ataleta vijana wapya kuwajengea uwezo mbona kawaleta wale aliokwishawaajiri zamani za kale? Hii ndio tuite nini? Anyway now I know something there...Ndomana Jide anawachana sana kina Ruge & Co
 
...yaani mtu na akili zake atoke kujiajiri arudi kuajiriwa,kama sababu ni kupiga picha,hiyo picha haina uthibitisho wowote kuwa kweli wameajiriwa.Acheni ujinga.!
 
...yaani mtu na akili zake atoke kujiajiri arudi kuajiriwa,kama sababu ni kupiga picha,hiyo picha haina uthibitisho wowote kuwa kweli wameajiriwa.Acheni ujinga.!
Mkuu najua pale watu wanafanya as part time baada ya kipindi watu wanapiga deals zao nyingine sio ajira kama nyingine
Na KP bonge la mjasiriamali tokea zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…