TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Very true iwe kweli au uongo mambo ya Kanisa hayamuhusu masoud kwa sababu ni muislam hajui chochote kuhusu ukristo kwa hiyo alitakiwa apite kule kimya kimyaKutokana na imani yake, sidhani kama ana sifa ya kukosoa imani ya watu wengine. So kwa upande wangu nimechagua kumpuuza. Maana ameingilia mambo yasiyomhusu.
Ina maana Desmond tutu, Martin Luther king Jr nk. hawakuwa wakristu? KKKT imetawaliwa na tamaa ya mali na madarakaMassoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
wewe mfia dini mchana wa leo umekula?Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Wakristo wenye kushabikia vita ya huko Gaza ndio unasema wastaarabu?Wakristo ni wastaarabu sana, ingekuwa quran imechorwa pasingekalika
Ila Masoud sio mchora katuni wa waislamu hadi umuwekee mipaka hivyo.Hawa waislam watu wa hovyo sana,uthubutu wa kukosoa imani nyingine wanajifanya wanao huwezi ona akichora katuni kuhusu ugaidi utasikia huo sìo uislam lkn kuhusu Papa wanataka kuuhusisha ukristo wote!upuuzi mtupu.
Dr shoo njoo huku
Masoud kazi yake haihusiani na imani yake mkuu.Hapa masoud haeleweki kwa jamii ya kikristo sababu yeye ni muislam, wapi na wapi na imani ya msalaba? Habari ya msalaba waachiwe wanaohusika na imani hiyo kama imezama au iko hai
Kwa nini mnapenda kurudia rudia hayo maneno? Inakuwa kama watanzania na uoga wa kufanya maandamano.Hicho kibonzo kingekuwa kinahusu upande wa pili halafu kikawa kimechorwa na Mgalatia sasa, yaani muda huu watoto wa nyumba ndogo ya Ibrahim mama yao akiwa Hajra wangeshaingia barabarani wakiandama wakidai kwamba mtume kadhalilishwa.
Safi sana Kipanya Malasusa kaliingiza mtaroni KKKT
Massoud wala hajamaanisha ukristo hapo! Massoud alichomaanisha ni Mradi wa mwendokasi.Very true iwe kweli au uongo mambo ya Kanisa hayamuhusu masoud kwa sababu ni muislam hajui chochote kuhusu ukristo kwa hiyo alitakiwa apite kule kimya kimya
Mkuu hata mimi nimepata tafsiri kama yako kupitia kibonzo hicho.Anamaanisha magari ya mwendo kasi UDART
Waislam ni wadini sn
Uko sahihi.Ila Masoud sio mchora katuni wa waislamu hadi umuwekee mipaka hivyo.