Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,489
- 12,137
Sisi tuliopitia kwenye uchoraji ni wazi hapo hakuna mambo ya Dini bali ni mambo ya miradi ya Mwendokasi.
Kwa nini msalaba? Ni kwa sababu mradi bado haujazikwa ila ndio unaelekea huko, hivyo katika kiwakilishi cha msalaba kimetumika ili kuleta uwelewa wa kaburi na maziko, kwenye dini nyingine hususan Uislam hakuna kiwakilishi kinachokaa juu ya kaburi na ambacho kinaeleweka kabla ya mazishi, kaburi la Kiislam utalijua kwa kikuta chake, na kikuta kikiwa nje ni tofari hivyo isingeleta maana ya mchoraji.