Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Kwahy hapo biblia imechorwa wapi mkuu?Wakristo ni wastaarabu sana, ingekuwa quran imechorwa pasingekalika
Huwa nawashangaa wanaomuona huyu jamaa ni genius, ni mnafiki fulani tu na mdini.Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Umechelewa sana kumfahamu.Nilikuwa namuheshimu sana masudi.Kwahili ameteleza sana.Japo Mimi siyo mdini ila Kwa katuni hiyo ingekuwa ni upande wa pili kwenye makobazi basi wangeshajaa jazma kama kawaida yao nakumtafuta mchora katuni Kwaajili ya kumuadabisha.Ukristo kwenye level ya uvumilivu wapo mbali sana.
Mkuu unafikiria kutumia kichwa au makalio? Sasa qur an na mwendokasi vinahusiana vipi? Wakristo wa zamani mulikuwa wasomi ila wa siku hizi Duh!Dogo Masoud ni gaidi a.k.a. Muislam, hivi kwa mfano angeweka kitabu cha Qur'an badala ya msalaba....magaidi wenzake wangesemaje juu ya hili?
Tangu lini mwenye sijida akawa nazo?Huwa nawashangaa wanaomuona huyu jamaa ni genius, ni mnafiki fulani tu na mdini.
Zaman Wakristo walikuwa wasomi ila siku hizi wengi wao vilaza hata muda wa kufikiria kitu hawana wanasubr chadema waokote ajenda nao wajiunge humo humo inakuwa ajenda ya kanisa, maan wenye akili washafahamu anacho maanisha masoud ila vilaza kama wewe chuki za udin na uchadema uliokujaa unaleta mambo ya kanisa kweny vitu haviendani kabisa 😁😁Nilikuwa namuheshimu sana masudi.Kwahili ameteleza sana.Japo Mimi siyo mdini ila Kwa katuni hiyo ingekuwa ni upande wa pili kwenye makobazi basi wangeshajaa jazma kama kawaida yao nakumtafuta mchora katuni Kwaajili ya kumuadabisha.Ukristo kwenye level ya uvumilivu wapo mbali sana.
Hebu tafakari nje ya box mimi ni mkristo ila sioni shida kwa masudi naona shida kwa alieleta mada chunguza hiyo kkkt imeandikwajeNilikuwa namuheshimu sana masudi.Kwahili ameteleza sana.Japo Mimi siyo mdini ila Kwa katuni hiyo ingekuwa ni upande wa pili kwenye makobazi basi wangeshajaa jazma kama kawaida yao nakumtafuta mchora katuni Kwaajili ya kumuadabisha.Ukristo kwenye level ya uvumilivu wapo mbali sana.
Msalaba ni ukristo?Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Kwanza katuni halisi haina KKKT.Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Sawasawa 👍 👍Kwenye katuni ya masudi hajaandika hiyo gari kkt kwahiyo acha kupotosha
Mambo yapi ya kikristo ambayo waachiwe wakristo maana bila hivyo mnaweza hadi kutaka watangazaji wa habari wawe wakristo pia kutangaza habari zenge kuhusiana na wakristo.Imejibiwa kulingana na mtoa post alivyotafsiri na ukweli unabaki kuwa mambo ya kikristo waachiwe wakristo muislam huna mamlaka ya kukisemea...sawa eeh
Duh kwani makaburi ya waislamu huwa wanaweka kitabu cha Qur'an au siku hizi kitabu cha Qur'an kimekuwa alama ya kaburi?Dogo Masoud ni gaidi a.k.a. Muislam, hivi kwa mfano angeweka kitabu cha Qur'an badala ya msalaba....magaidi wenzake wangesemaje juu ya hili?
Wakristo wenye kushabikia vita ya Gaza ndio unasema wana uvumilivu?Nilikuwa namuheshimu sana masudi.Kwahili ameteleza sana.Japo Mimi siyo mdini ila Kwa katuni hiyo ingekuwa ni upande wa pili kwenye makobazi basi wangeshajaa jazma kama kawaida yao nakumtafuta mchora katuni Kwaajili ya kumuadabisha.Ukristo kwenye level ya uvumilivu wapo mbali sana.
Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.