Masoud Kipanya ni mtu bingwa sana, ‘independent’ na mfano wa kuigwa

Nachokelwa kimoja TU

Kubebeshwa vilipuzi kisa kuona mbali
Ndivyo mnavyodanganywa.

Waislam ni watu wa amani.

Muislam haruhusiwi kabisa kuanza kumpiga mtu, anaruhusiwa kujitetea tu.

Usimchokoze tu, akipigwa la kushoto hageuzi la kulia, anakurudishia kwa kishindo.
 
Ila hamna aliyemkataza kusoma.... hahahahaaaa kama hakusoma sana maana yake elimu hakuiweza

Neno zuri la kumuelezea ni kwamba ni 'Street smart'
Kusoma siyo lazima ndani kuta nne (boksi), unaweza kwenda shule usielimike.

Kuna njia nyingi sana za kuelimika. Kama hujaelimika huwezi kuzielewa, hata usome vipi.
 
Ndivyo mnavyodanganywa.

Waislam ni watu wa amani.

Muislam haruhusiwi kabisa kuanza kumpiga mtu, anaruhusiwa kujitetea tu.

Usimchokoze tu, akipigwa la kushoto hageuzi la kulia, anakurudishia kwa kishindo.
Kiboko anahakikisha nae anakufa wakati wa kurudisha Majibu
 
30 bn+ inajumuisha na upigaji.
 
Vijana wa madrassa hao lazima uwakubali tu.

Hao wanaanza chuo kabla ya shule, na madrassa hawafundishi kufeli hata siku moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwezo wake wa kufikiri na kuuliza maswali na kuhoji vitu ni mkubwa Sana..TATIZO LAKE MOJA TU nalo ni UDINI ULIOPITILIZA..Udini wake lazima uuangalie Kwa jicho Pana.Fanya utafiti watu anaowaita etc .utaona Kuna vitu lazima aite mtu wa dini yake na kumsifia Sana tofauti na mtu wa dini nyingine .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
KP km ana udini siopoa angemuiga boss wake Joseph"Big Joe"hana mbambamba . Cza nae yuko vizuri hata Fatuma "Feffy"
 
Jamaa yuko vzr Sana hata msaha wake Ni wa kitaalum Sana

Namkubali sna hyo bwna hkn mtu anaweza kumfikia masudi kwa kuhoji vitu vya msingi
 
Vijana wa madrassa hao lazima uwakubali tu.

Hao wanaanza chuo kabla ya shule, na madrassa hawafundishi kufeli hata siku moja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wew na uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…