Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kweli Masoud yupo smart Sana kichwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yule aliyekuwa sheikh wa Dar hana akili?Vijana wa madrassa hao lazima uwakubali tu.
Hao wanaanza chuo kabla ya shule, na madrassa hawafundishi kufeli hata siku moja.
Hilo bibi la Kariakoo huwa ni party pooperHakiyamungu huu mjadala umeuaribu faiza kwa kuleta Mambo ya uislamu hapa
SurePowerbreakfast bila Masoud Kipanya ni sawa na maharagwe yenye nazi ambayo hayajawekwa chumvi kabisa
Ovyoo,huyu tumekuwa nae kijitonyama madrasa ipi kaenda acha shobo bibiVijana wa madrassa hao lazima uwakubali tu.
Hao wanaanza chuo kabla ya shule, na madrassa hawafundishi kufeli hata siku moja.
Anatumia nguvu kuuubwa kuueneza Uislam, badala ya Uislam ujieneze vizuri kupitia matendo na shughuda nzuri za Waislam wenyewe ktk maisha ya kila siku.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wew na uislamu
Ilikuwaje wale jamaa wa Mtakatifu Petero hawakumchukua!!??nawakumbusha waliosahau au kuwajulisha wasiojua
Baba yake Mzazi ndie aliekuwa Dereva wa Rais Ally Hassan Mwinyi kwa miaka yake yote ya U Rais
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
zamani hadi sasa huwezi kuwa Dereva wa Rais bila ya kuwa wa St PetersIlikuwaje wale jamaa wa Mtakatifu Petero hawakumchukua!!??
Ukiona katuni zake zilivyo fikirishi,unaamini kabisa huyu ni mtu anayefikiri kwa sana.
Katuni zake ni "very analitycal", angeweza kuisaidia nnchi pakubwa sana kama angetumiwa vyema.
Bonge la analyst.
Kongole kwa Masoud Kipanya na Mungu ambariki sana.
zamani hadi sasa huwezi kuwa Dereva wa Rais bila ya kuwa wa St Peters
zamani hadi sasa una nafasi kubwa ya kupendekeza Mtoto wako mmoja ambae yuko vyema kujiunga nawe
Baba Mkwe wa 'Mtoto wa Mkulima' alikuwa ndio Fundi Mkuu wa Magari ya Jumba jeupe na akasaidia kumsajili Mkwewe mapema tu baada ya kutoka chuo 1974 akapelekwa Songea kwa muda kidogo akaletwa 'madhabahuni '
Siku ya Kiyama wakati siri zote zitakapofunguliwa ndio tutakuwa tunashangaa wakati orodha ya wana Kitengo itapokuwa inahusisha Ma padre, Makamanda wa Katiba mpya, Ma Sheikh, Wanaharakati, wana michezo n.k
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Recruitment ya kitengo enzi za Nyerere ilikuwa njema sana.zamani hadi sasa huwezi kuwa Dereva wa Rais bila ya kuwa wa St Peters
zamani hadi sasa una nafasi kubwa ya kupendekeza Mtoto wako mmoja ambae yuko vyema kujiunga nawe
Baba Mkwe wa 'Mtoto wa Mkulima' alikuwa ndio Fundi Mkuu wa Magari ya Jumba jeupe na akasaidia kumsajili Mkwewe mapema tu baada ya kutoka chuo 1974 akapelekwa Songea kwa muda kidogo akaletwa 'madhabahuni '
Siku ya Kiyama wakati siri zote zitakapofunguliwa ndio tutakuwa tunashangaa wakati orodha ya wana Kitengo itapokuwa inahusisha Ma padre, Makamanda wa Katiba mpya, Ma Sheikh, Wanaharakati, wana michezo n.k
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Vijana wa madrassa hao lazima uwakubali tu.
Hao wanaanza chuo kabla ya shule, na madrassa hawafundishi kufeli hata siku moja.
Enzi hizo kazi zilikuwa Wito sio fursaRecruitment ya kitengo enzi za Nyerere ilikuwa njema sana.
Watu walifuatiliwa kuanzia nyumbani,anapocheza,shuleni (kuanzia msingi).
Kama Mwijaku. Hakafu machoko wengi wanaojitangaza ni maustadhi na wamepita madrassaKila kitu chake, mtu aliyetokea madrassa anakuwa na muono mrefu na mpana zaidi ya aliyekwenda shule pekee.
Enzi hizo kazi zilikuwa Wito sio fursa
kuna Mwamba na Diploma yake ya IDM Mzumbe alipangwa soko la Kariakoo kule chini (shimoni) akawa kama Mbeba mizigo ili kuwanasa Askari wa Halmashauri wanaopokea rushwa ya bidhaa zinazoingia na kupakuwa mizigo bila ya kulipa ushuru, walikuwa wanamtumia yeye kupeleka Maagizo na maelekezo ya Rushwa na kusambaza migao bila ya kujua wamekanyaga Gridi ya Taifa…miaka kadhaa hawakuwahi kumjua wala jamaa kutia mbwembwe za kishule shule
akazuga kapata kifua kikuu kwa mizigo mizito anarudi kijijini kumbe kabadilishiwa Majukumu na kuna siku tunastuka ndio Msaidizi wa Advocate Mahfudh aliekuwa Mkuu wa Anti corruption Squard miaka ya Julius
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Fetty umemsahau ana upeo mkubwa wa kuongoza kipindiKatika vipindi vyote asbh Kwangu power breakfast number I akikutana Siza na Kp asee majamaa Yana akili mpaka inakera wanachambua na kureason mpaka unashangaa wanahoji masuali Kwa angle nyengine uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana .....