smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
na ukute kama angesoma sana pengine elimu ingem-limit asitumie vipawa vyake kwa kiwango cha juu kama hivi sasa.Ila hamna aliyemkataza kusoma.... hahahahaaaa kama hakusoma sana maana yake elimu hakuiweza
Neno zuri la kumuelezea ni kwamba ni 'Street smart'
tumeona mara kadhaa baadhi ya wanaojiita wasomi wakiwa watumwa wa mfumo, kila kitu wao ni kusifia tu na kuunga mkono hata pale pasipostahili kufanya hivyo.