na ukute kama angesoma sana pengine elimu ingem-limit asitumie vipawa vyake kwa kiwango cha juu kama hivi sasa.Ila hamna aliyemkataza kusoma.... hahahahaaaa kama hakusoma sana maana yake elimu hakuiweza
Neno zuri la kumuelezea ni kwamba ni 'Street smart'
Hyo combination ina balaa..wanahoji mambo yenyr mantiki sanaKatika vipindi vyote asbh Kwangu power breakfast number I akikutana Siza na Kp asee majamaa Yana akili mpaka inakera wanachambua na kureason mpaka unashangaa wanahoji masuali Kwa angle nyengine uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana .....
Akili kubwa kama king msukumana ukute kama angesoma sana pengine elimu ingem-limit asitumie vipawa vyake kwa kiwango cha juu kama hivi sasa.
tumeona mara kadhaa baadhi ya wanaojiita wasomi wakiwa watumwa wa mfumo, kila kitu wao ni kusifia tu na kuunga mkono hata pale pasipostahili kufanya hivyo.
Na ushoga pia huanzia huko hukoVijana wa madrassa hao lazima uwakubali tu.
Hao wanaanza chuo kabla ya shule, na madrassa hawafundishi kufeli hata siku moja.
Mtu pekee ambae hata magufuli alikubali kukosolewa naee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Japo nae kuna siku alifinywaa nasikiaaBahati mbaya watu wa aina yake kwa nchi zetu, huishia kuwa wa kawaida wasiotumika kwenye mchango wa taifa...
Umasikini ni utumwaUkiwa masikini huwezi kuwa huru
KP saiv yukozake Guangzhou anagonga msosi wa KichinaUmasikini ni utumwa
Mfano?Uwezo wake wa kufikiri na kuuliza maswali na kuhoji vitu ni mkubwa Sana..TATIZO LAKE MOJA TU nalo ni UDINI ULIOPITILIZA..Udini wake lazima uuangalie Kwa jicho Pana.Fanya utafiti watu anaowaita etc .utaona Kuna vitu lazima aite mtu wa dini yake na kumsifia Sana tofauti na mtu wa dini nyingine .
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app