Masoud Kipanya umetukosea sana sisi Wanachadema

Yani kwamba wanawaza kwa kutumia vya kukalia au akili picha leo imenikataa🤭
 
Kwahiyo mkuu masoud kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?

Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa 😃 😀 😄 😁 🤣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili sie wanachama.

View attachment 2470760
Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga? Kibonzo hujakielewa halafu unakuja na hitisho la kicameruni kabisa. Huko CCM naona kuna kiwanda cha kuzalisha vilaza,
 
Kwahiyo mkuu masoud kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?

Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa 😃 😀 😄 😁 🤣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili sie wanachama.

View attachment 2470760
Masoud Kipanya Nimemkuta mirembe muda huu, huko sijajua kaenda kutibiwa au kumsalimia mgonjwa
 
Hapo pia Kuna rangi ya kijani (ccm), hata hivyo tafsir ya kibonzo huijui na mwandiko wako unaonekana wewe nimwana.LUMUMBA
Kwamba unajizima data kuwa huelewi?

Anamaanisha, Majuto ni mjukuu,

Wakija stukia mchezo tayari kutakuwa kumekucha.

Nadhani, wasipuuze, waongeze Umakini kuchunga hatua na VIVULI vyao.
 
Shuka, godoro na kitanda cha ccm, ila mto unamilikiwa na cdm, ACT na vyama vingine.

Jamaa anataka kulala anashindwa, kabaki anajihinamia chini huku amekaa kwa sababu kitanda cha watu.
Manake mto ndio kichwa ulala,but mdau hana kichwa... hivyo akilala usiku kucha analalia kitanda cha kijani...sasa sijui akiamka kichwa kinaota au la... all in all... situation iko awkward kwakweli.
 
Kwahiyo mkuu masoud kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?

Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa 😃 😀 😄 😁 🤣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili sie wanachama.

View attachment 2470760
Hii ni katuni ya siku nyingi sana ya Kipanya (ilitoka 21/5/2020 kwenye gazeti la mwananchi) sio ya mwaka huu wala mwaka jana, na wala haina uhusiano wowote na hiki kinachoendelea sasa hapa nchi kisiasa. Ni katuni ya kipindi cha Jiwe.

Ukitaka kuitafsiri vyema, tafuta kumbukumbu za matukio yaliyokuwa yanaendelea siku chache kabla ya hiyo kanuni kutoka na sio kwa matukio ya sasa.
 
Manake mto ndio kichwa ulala,but mdau hana kichwa... hivyo akilala usiku kucha analalia kitanda cha kijani...sasa sijui akiamka kichwa kinaota au la... all in all... situation iko awkward kwakweli.
Awkward kwa kweli, kesi ya ugaidi imem paralyse Mwenyekiti amekuwa mtumwa.
 
Kwahiyo mkuu masoud kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?

Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa 😃 😀 😄 😁 🤣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili sie wanachama.

View attachment 2470760
unachosema ni sahihi Kaamanisha CHADEMA ni KUPE na wachumia tumbo; na hii ni kweli kabisa
 
Sukuma Gang mumeumia sana Samia kufanya maridhiano na Wapinzani, mlitaka watu waendelee kuishi kwa uhasama kama alivyotaka yule mhutu wenu aliyepo motoni hivi sasa. Washenzi sana nyie warundi rudini kwenu mlikozoea kuchinjana
Yani wewe dada hata mumeo akishindwa kusimamisha oli akupande utailamu sukuma gang
 
Sukuma Gang mumeumia sana Samia kufanya maridhiano na Wapinzani, mlitaka watu waendelee kuishi kwa uhasama kama alivyotaka yule mhutu wenu aliyepo motoni hivi sasa. Washenzi sana nyie warundi rudini kwenu mlikozoea kuchinjana
Walamba asali gang, mmefurahi sana namna mnavyo lamba asali, leo umelamba kiasi gani
 
Sukuma Gang mumeumia sana Samia kufanya maridhiano na Wapinzani, mlitaka watu waendelee kuishi kwa uhasama kama alivyotaka yule mhutu wenu aliyepo motoni hivi sasa. Washenzi sana nyie warundi rudini kwenu mlikozoea kuchinjana
Mbona unapanick Sasa masud kipanya lini amekuwa mhutu chawa wa gaid hoi
 
Maana yake kwa sasa chadema haijui isimamaie nini. Ibaki na ajenda zake za kichadema au ibebe na ajenda za ccm. Ndio maana hapo unaona ana kopo la rangi ya kijani na hizo nyingine.
Ni kipi kinachomfanya huyo mtu awe wa CHADEMA, rangi ya suruali yake?
Huyo mtu hawezi kuwa wa CCM?
 
Back
Top Bottom