Masoud Kipanya umetukosea sana sisi Wanachadema

Mtu kama Maranja Masese unadhani ana kichwa? +Mdude?

Kichwa Cha Mbowe na Mnyika vimehifadhiwa pale Lumumba
Watu kama akina Sagai galgano wa hapa jf anadhani wana vichwa kweli? Hata kama wanavyo basi vimejaa matope tu.
 
Kichwa kimeliwa
 
Sukuma Gang mumeumia sana Samia kufanya maridhiano na Wapinzani, mlitaka watu waendelee kuishi kwa uhasama kama alivyotaka yule mhutu wenu aliyepo motoni hivi sasa. Washenzi sana nyie warundi rudini kwenu mlikozoea kuchinjana
Kwaiyo unamaanisha Masood kipanya ni sukuma genge
 
Jamaa ni mtalamu mzuri sana wa fasihi. Hapo kuna chumba kilichokwishaharibika, fundi anajaribu kukirembesha tena upya lakini fundi mwenyewe hana kichwa, kwa hiyo hajui analofanya.
 
Shuka, godoro na kitanda cha ccm, ila mto unamilikiwa na cdm, ACT na vyama vingine.

Jamaa anataka kulala anashindwa, kabaki anajihinamia chini huku amekaa kwa sababu kitanda cha watu.
Hakika Mkuu, hapo kibonzo kinachagiza kuhusu uendeshaji wa shughuli za kisiasa nchini zilivyokinzana na matakwa ya katiba na sheria. Uwepo wa sheria mama yaani katiba, ni kama kichwa, ili kusimamia haki, uhuru, maadili ya vyama vya kisiasa kuendesha shughuli zao.

Mtu asiyekuwa na kichwa akiwa ameketi kitandani ni kasoro kubwa ya kimfumo kwa kulinganisha na haki za kikatiba huku rangi zilizopo kitandani, makopo ya rangi na ukutani ni chagizo kuhusu uwepo wa vyama tofauti vya kisiasa nchini vyenye sifa na nguvu tofauti.
 
Jinsi ulivyotumie neno SIE mara nyingi, naona kabisa wewe siyo mwana CDM
 
CHADEMA mmebaki kiwiliwili... Kichwa kinalamba asali. Kwisha habari yenuu
 
chadema chadema chadema .........
 
Mseto unanukia hapo. Yupo hadi ACT hapo.
 
Sukuma Gang mumeumia sana Samia kufanya maridhiano na Wapinzani, mlitaka watu waendelee kuishi kwa uhasama kama alivyotaka yule mhutu wenu aliyepo motoni hivi sasa. Washenzi sana nyie warundi rudini kwenu mlikozoea kuchinjana
Kwa hiyo unahisi mama kafanya maridhiano kwa matakwa yake mwenyewe?Unadhani mikopo anayopokea kutoka ughaibuni haina masharti sio?hapo wa kupigiwa makofi Ni mabeberu ndio wamefanikisha kuruhusiwa Tena kwa mikutano ya kisiasa na sio mama....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo unahisi mama kafanya maridhiano kwa matakwa yake mwenyewe?Unadhani mikopo anayopokea kutoka ughaibuni haina masharti sio?hapo wa kupigiwa makofi Ni mabeberu ndio wamefanikisha kuruhusiwa Tena kwa mikutano ya kisiasa na sio mama....
Hao mabeberu kwa kuweka mbinyo ili watu wasiuwawe ovyo na kubambikiwa kesi Mungu awabariki sana mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…