Masoud Kipanya umetukosea sana sisi Wanachadema

Nakubaliana na wewe mkuu.

Na hii inakuja baada ya kuona au kutodai haki kwa uoga wetu, tukihisi rais ndiyo mwenye kutoa haki kama hisani wakati katiba yetu inasema hakuna aliye juu kisheria.
 
Kwani chadema mnafikiria kweli?imagine chama kinaruhusu wahuni kushinda mitandaoni kutukana tu wakiongozwa na Mdude na yule jamaa anaefugwa kule CANADA
 
Mbona badala ya kichwa km kaweka m.t.ko?
hii picha inatafsiri nyingi sana matako yanaanza kisha tumbo lakini kama haitoshi kitanda alizokalia hakimtoshi kwa kuwa miguu yake haiwezi shuka chini mto anao kichwa hana lakini anamekaa anafikiri kwa kutmbo lake lililokubwa akiwa hajui cha kufanya huku akilalia shuka pendwa za ccm.
 
Chumba chote ni ofisi ya chadema.
DJ anaona rangi imefifia anataka kuing'arisha at the same time amelewa asali.
Sasa anadhani akichanganya hizirangi ndio chumba kita ng'aa vizuri kumbe ndio anazidikukichafua.

Alafu kwa bahati mbaya fikra zote zimemezwa na asali, kwahiyo rangi iliyo mpa asali ndio anayo ikumbuka sana.

Kama Mimi muongo angalia hapo rangi gani imepakwa sana.
 
Sijaona kosa hapo, alipomchora hayati JPM ana kichwa kikubwa mlikuwa wa kwanza kucheka kwa sauti za juu.

Mkiwa watu wazima pokeeni hii dozi na muinywe vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…