Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 201
- 116
Wanatafutwa watu kama hawa wanawekwa pamoja na kutupa nini kifanyike kwa mziki wa Tanzania...Kuna bwana mmoja anaitwa Miguel Suleiman. Alikuwa akiandika makala za muziki katika gazeti la The Guardian, Nipashe na mengine ya IPP.
Pia alikuwa akialikwa Radio One miaka ya nyuma kuchambua Muziki.
Huyu hata Masoud Masoud anamjua. Ni gwiji wa muziki ambaye ameufanyia tafiti katika sehemu kadhaa duniani.
Kwa sasa sijui yupo wapi. Ila kwangu Huyu ndiye Hana mpinzani. Wengi nadhani hawamjui.
Aliwahi kufundisha Somo la lugha ya kifaransa katika shule ya sekondari Forodhani miaka ya nyuma.
Shule ya Forodhani wanaijua wahenga wenzangu tu.