Massage ni danguro lililochangamka

Ni danguro kabisa, ajabu yake ni kwamba, wale wanaofanyia watu massage asilimia 70 wameathirika na wamejizila. na hawatumii groves. na ukiomba happy endings wanakupa. upo hapo? Ni watu hatari sana hao na wakimbie kwa mbio zote.
 
"Kacheza kama pele"

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

Binafsi huwa nawambia marafiki zangu kuwa kama mko vizuri na mwenzi wako ni bora akufanyishe mwenzi wako maana ile pia ukiacha massage itaongeza upendo kwenye mahusiano yenu.
 
Mkuu wale pale uhindini au wap??
Uhindini naenda Sana ndiyo Chimbo langu
Napewa huduma nzur sana pale
 
Nipe link mkuu niko capital city hapa nina maumivu makali ya Mgongo wakaninyoshe.
 
Mkuu wale pale uhindini au wap??
Uhindini naenda Sana ndiyo Chimbo langu
Napewa huduma nzur sana pale
hao mm sijui ofisi zao ila wanafanya mobile massage wanakuja lodge mpka geto kwako.... Yani hata ukiwa ndinchi wanakutumia picha za warembo kadhaa unachagua anakuja unafanyiwa massage ...

ukitaka kuwakomoa muite akufanyie massage alafu wife awepo home ...[emoji23][emoji23][emoji23]

Apo utakuwa umeponea kufanyiwa massage dushee ...vinginveyo wanapeleka mikono hadi kwenye kende[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…