Massage ni danguro lililochangamka

Massage ni danguro lililochangamka

Kuna dada mmoja aligundua mume wake ni mteja mzuri wa massage parlour, alichofanya kwa siri alikwenda kuomba kazi lakini alikua mkweli alisema hana experience. Walimpa wiki moja ya training baada ya raining hakurudi tena alianza kumfanyia mume wake nyumbani.
"Kacheza kama pele"

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna dada mmoja aligundua mume wake ni mteja mzuri wa massage parlour, alichofanya kwa siri alikwenda kuomba kazi lakini alikua mkweli alisema hana experience. Walimpa wiki moja ya training baada ya training hakurudi tena alianza kumfanyia mume wake nyumbani.

Binafsi huwa nawambia marafiki zangu kuwa kama mko vizuri na mwenzi wako ni bora akufanyishe mwenzi wako maana ile pia ukiacha massage itaongeza upendo kwenye mahusiano yenu.
 
eti happy ending ...kuna wengine wako dodoma aisee wale ndo balaaa....sitokuja kwenda kule tena.....Yani unatengenezewa mazingira ya kushawishika....

kwanza picha la kikorea linaanza kabla hata ya kuvua nguo wanajipanga mabinti 6 eti uchague wa kukufanyia massage ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Aiseee hii dunia hapana

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Mkuu wale pale uhindini au wap??
Uhindini naenda Sana ndiyo Chimbo langu
Napewa huduma nzur sana pale
 
Nipe link mkuu niko capital city hapa nina maumivu makali ya Mgongo wakaninyoshe.
 
Mkuu wale pale uhindini au wap??
Uhindini naenda Sana ndiyo Chimbo langu
Napewa huduma nzur sana pale
hao mm sijui ofisi zao ila wanafanya mobile massage wanakuja lodge mpka geto kwako.... Yani hata ukiwa ndinchi wanakutumia picha za warembo kadhaa unachagua anakuja unafanyiwa massage ...

ukitaka kuwakomoa muite akufanyie massage alafu wife awepo home ...[emoji23][emoji23][emoji23]

Apo utakuwa umeponea kufanyiwa massage dushee ...vinginveyo wanapeleka mikono hadi kwenye kende[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom