Massage ni danguro lililochangamka

Massage ni danguro lililochangamka

Uhindini sehemu gani mkuu. Nipe location na price distribution.

wana utambulisho Mkuu? E.g. Chef Asili Massage, etc? Hiyo itanisaidia zaidi.
Karibu na hospitali ya macho ya Shumahofa
 
Yani mwili wangu uchezewe na mwanamke tofauti na mke wangu thubutuu acha nimtunzie mke wangu mtinyama wake
 
Kuna dada mmoja aligundua mume wake ni mteja mzuri wa massage parlour, alichofanya kwa siri alikwenda kuomba kazi lakini alikua mkweli alisema hana experience. Walimpa wiki moja ya training baada ya training hakurudi tena alianza kumfanyia mume wake nyumbani.
Akili nzuri sana hii...hongera zake
 
Eti happy ending ...kuna wengine wako dodoma aisee wale ndo balaaa....sitokuja kwenda kule tena.....Yani unatengenezewa mazingira ya kushawishika....

Kwanza picha la kikorea linaanza kabla hata ya kuvua nguo wanajipanga mabinti 6 eti uchague wa kukufanyia massage ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Aiseee hii dunia hapana
Hapo ndo penyewe
 
Back
Top Bottom