Mastaa 10 waliofanya upasuaji kutengeneza shepu

Africa tumenyimwa akili tu za kujiletea maendeleo lakini kwingineko tuko poa

Ulioorodhesha hapo wote na pesa zao na upasuaji wao wote hapa wanasubiri

Unakutana na zigo halipigi zoezi wala halina diet lakini Toto limetulia

Sura ipo nyonyo ipo kiuno sasa.... hips tako na chini ni guu la bia rangi pia

Bantu oyeeeeeee
 
Oyeee
 
K Mitchell - Makalio ila ameshayatoa
Remy Ma - Boobs
Cardi B
Nickie Baby - Boobs &Butty
Hazel E
Lyrica Anderson
Erica Mena

Wako wengi sana mastaa wa nje walobadili shape. Wakipata hela tu cha kwanza kuongeza makalio na kuweka kiuno nyigu wanamalizia maziwa na pua

Bernice Burgos
 
Bora sie wa Africa tuna maumbo ya asili hatuhitagi kuwa botched ka ni hips la asili au mswabanda tunao, pole yao jinsi hzo operation zilivo yataka moyo. Wabantu oyeeeee
hoyeeèe
 
Pendaga sana mie bantu
 
Bora sie wa Africa tuna maumbo ya asili hatuhitagi kuwa botched ka ni hips la asili au mswabanda tunao, pole yao jinsi hzo operation zilivo yataka moyo. Wabantu oyeeeee
Mkuu umesahau na mitumbo mlojaaliwa maana wanawake wa kiafrika mmejaaliwa kuwa na matumbo makubwa
 
Waacheni wahangaike, wanaume saiv tunahamia kwa maroboti baada ya kugundua huu ufekifeki
 
Back
Top Bottom