Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Mkuu, hisia zako hazijaguswa? Basi huenda ndio kwanza unabalehe/kuvunja ungo... Ngoja umri usogee sogee uanze kutendwa ndio nyimbo kama hii itakuingia vizuri...Labda hisia zako na demu wako.
Samahani Mzee je uliwahi kumsikia Suleiman Mbwembwe? Au Hemed Maneti? Au Hassan Rehani Bitchuka? Wote hawa ni watu waoghani sauti zao kwa kutumia sauti ya kwanza au ya pili, mbona wamekuwa ni magwiji wa muziki? Tatizo lipo kwa mahaba ya sauti.mkuu kwa mtu yoyote aliefuzu sound engineering mtu mwenye kuimbia puani kama huyu hawezi kuwa mwimbaji mzuri kwake tena huyu bahati yake siku hizi studio zipo mpaka vichochoroni enzi zile angeishia kuuza madafu na kahawa mziki angebaki kuwa msikilizaji tu
hakuna anayemuonea wivu, hongera kwa mafanikio aliyofikia mpaka sasa, lakini ukweli unabaki palepake hajui kuimba... na sio mbunifu, anachofanya ni kucopy kwa boss wake.anajua bwana acheni roho mbaya jamani..
angekua hajui asingehit.
alafu kwanini hamfurahii mafanikio ya wenzenu???
Mbona dogo kila akiachia wimbo unakuwa hitsong sasa nashangaa mwenzangu unaposema jamaa hajui kuimba cjui unamanisha nnHujui ndiyo, na bado hujui
Upepo wa mjini tu huo... Umevuma kwa msimu... Tuendako utaelewa kinacho semwa hapa.anajua bwana acheni roho mbaya jamani..
angekua hajui asingehit.
alafu kwanini hamfurahii mafanikio ya wenzenu???
Wenyewe wamevimba vichwa utadhani wasanii wa dunia. Umaarufu umewachanganya...Kwani Bongo Fleva ina tabu gani, ukiweka maneno mawili Tu, 'Chura anarukaruka' na ukipata promo basi unapiga show za Fiesta.
[emoji28]ila bado hajui kuimba
Mungu anawaona mjue [emoji28]Ata sasa pia bado hajui kuimba hivyo aendelee kukaza buti.