Samahani Mzee, mimi sio kabisa Sallam SK.dooooh kweli mziki umeingilia kwa hiyo Suleiman Mbwembwe aka masharubu na Hassani Rehan Bitchuka walikuwa wanaimba kwa kubana pua kama anavyoimba Harmonise?!
Acha kufananisha Barcelona na Mbao fc ya mwanza eti kisa zote ni timu za mpira wa miguu
Au wewe ndio bwana Sallam S.K?!
sasa unaanzaje kumfananisha fundi Hassan Rehan Bitchuka na vitu vya Kijinga Jinga?!Samahani Mzee, mimi sio kabisa Sallam SK.
kuimba ni sauti, juhudi ,utunziUmeongea ukweli. Kuna watu wana roho ya kwanini. Hata Master J. Ukimuuliza leo atakubali kuwa dogo Hivi sasa anajua. Hakujua kuimba miaka hiyo, lakini hivisasa anajua.
Alivyoanza muziki Hassan Rehani Bitchuka alizogomwa sana na alionekana anaimba kwa kutumia pua. Hawakumkubali haraka, hata TX Moshi William alikumbana na hiyo kadhia, ila taratibu walizoeleka na wakawa ni watu wenye heshma kwa wapenzi wa Msondo.Ukumbuke ile Msondo ya kipindi kile ilikuwa ni ya wandava na magangwe wa mjini.sasa unaanzaje kumfananisha fundi Hassan Rehan Bitchuka na vitu vya Kijinga Jinga?!
aiseee kwanza tuulizane umri...yaani kabisa bado umeng'ang'ania kuwa Harmonise anaimba kama walivyokuwa wakiimba wakina Hassan Rehani au TX Moshi William?!Alivyoanza muziki Hassan Rehani Bitchuka alizogomwa sana na alionekana anaimba kwa kutumia pua. Hawakumkubali haraka, hata TX Moshi William alikumbana na hiyo kadhia, ila taratibu walizoeleka na wakawa ni watu wenye heshma kwa wapenzi wa Msondo.Ukumbuke ile Msondo ya kipindi kile ilikuwa ni ya wandava na magangwe wa mjini.
Hao wooote ninaowataja nimewaona wakiimba mubashara. Mzee ungekuwepo pale Bwalo la Polisi, Kigongo Bar au Kwetu Bar ungenielewa uzuri haya ninayoyasemaaiseee kwanza tuulizane umri...yaani kabisa bado umeng'ang'ania kuwa Harmonise anaimba kama walivyokuwa wakiimba wakina Hassan Rehani au TX Moshi William?!
wallah mimi mwanzo nilijua unafanya dhihaka tu
dah mkubwa mwenzangu kula tano.. kumbe unamkumbuka seleiman mbwembwe.. huyu jamaa alikua ni hatari sana kwa bongo fleva ya sasa hukuna anayemnusa kwa sauti.. pia Hassan rehani bitchuka aka stereo.. hii ni machine kubwa huyu mzee ni fundi na angekua kijana enzi hizi ndio angekua nguli wa muziki huyu mzee anajua ku-balance sauti nakiri hapa bongo kwa muziki wa kale hajawahi kutokea fundi wa muziki na mtaalam wa kubalace sauti kama huyu mzee..Samahani Mzee je uliwahi kumsikia Suleiman Mbwembwe? Au Hemed Maneti? Au Hassan Rehani Bitchuka? Wote hawa ni watu waoghani sauti zao kwa kutumia sauti ya kwanza au ya pili, mbona wamekuwa ni magwiji wa muziki? Tatizo lipo kwa mahaba ya sauti.
Unawakumbuka Mopero na Josky Kiambukuta. Kuna watu walikuwa ni wapenzi wa Mopero kwa kuwa alikuwa na sauti nene, lakini ukimsikia Kiambukuta yeye alikuwa na sauti kali. Ingawa Mwawaita wabana pua, lakini wanafanikiwa kuteka nyoyo za watu wengi.
Najaribu kumuangalia jinsi King Crazy GK anavyohangaika na muziki wake wa Rap. Pia nikiangalia soko la wanamuziki ambao walikuwa wanasimamiwa na Master J wanavyohangaika kutoboa kwenye soko gumu la muziki wa leo, siipati picha. Ila mahaba ya sauti yasifanye wasimamizi wa muziki kuwaponda baadhi ya vijana, kwani kila binaadamu ameumbwa na bahati yake.
daah seleman mmbembe R.I.P na Bitchuka aka stererio ni mafundi na sauti zao kama unavyozisikia kwenye redio ndio hivyo hivyo wakiimba live zinatoka.. hawa madogo wa saivi wakiimba live ni kichekesho sauti zao zinatengenezwa studio.. kifupi mziki wa saivi ni ujanja ujanja na video kali na promo ya nguvu.... MZEE BITCHUKA WEWE NI NGULI SALUTI KWAKO..dooooh kweli mziki umeingilia kwa hiyo Suleiman Mbwembwe aka masharubu na Hassani Rehan Bitchuka walikuwa wanaimba kwa kubana pua kama anavyoimba Harmonise?!
Acha kufananisha Barcelona na Mbao fc ya mwanza eti kisa zote ni timu za mpira wa miguu
Au wewe ndio bwana Sallam S.K?!
Usimlazilimishe ,,wimbo ni mbayaMkuu, hisia zako hazijaguswa? Basi huenda ndio kwanza unabalehe/kuvunja ungo... Ngoja umri usogee sogee uanze kutendwa ndio nyimbo kama hii itakuingia vizuri...