Masters au PMP? Chagua Njia Bora kwa Ajili ya Kazi Yako! (Project Management Context)

Masters au PMP? Chagua Njia Bora kwa Ajili ya Kazi Yako! (Project Management Context)

Unachagua Kwenda Masters(Project Management) au Project Management Professional (PMP)® Certification

  • Masters' best option

    Votes: 6 42.9%
  • Project Management Professional (PMP)® Certification

    Votes: 6 42.9%
  • Tofauti yake ni nini?

    Votes: 1 7.1%
  • Emenivuruga...

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
Umerudia niliyosema. Maana yake umekubaliana na mimi milichokisema ila nashukuru kwa elimu uliyonipa imenivusha hatua moja kwenda nyingine, nitajitahidi nikipata pesa na muda nikasome, niko na interest nayo ila nikiwaza applicability huku kazini ndio inanitia uvivu but one day nitasoma.
Karibu sana.
 
Hebu toa darasa kidogo kuhusu hiyo PMP, inapatikana vipi, inatolewa wapi nk
Kozi ya PMP unaweza kuipata kupitia taasisi yetu ya Global Dynamics Consulting (GDC), taasisi iliyopewa mamlaka ya kutoa PMP nchini Tanzania. Unaweza kutembelea tovuti yetu: www.gdc.co.tz, kutuma barua pepe kwa: training@gdc.co.tz, au kupiga simu kwa: +255 766 350 053.
 
Hongera Mkuu Kwa Kuwaletea Habari hii wadau Wengine kuhusu PMP.

Ni vyema kwa wenye Vigezo kuongeza taaluma hii kwani itaongeza Ufanisi.

Mimi nina Facility Management Certification na Imenisaidia sana kuongeza Ufanisi kwa kazi zangu.
Hii ya facility management certification naamini ni mpya kati ya wengi miongoni mwetu. Kama unapata wasaa tunaomba utupe mawili matatu kuhusu hili.

Na inawezaje kuwasaidia wale watumishi ima wa serikali au mashirika na taasisi binafsi.
 
Back
Top Bottom