Masters voice prophecy: Mtumishi wa Mungu wa kike wa USA ameoneshwa na Mungu kuwa USA itapingwa na Urusi

Hata huku Kuna Rais Mwanamke na yeye ameoneshwa na Mungu atuongoze Kwa miaka 20
 
Angeweka na namba za simu, tutor sadaka ili duende mbinguni.
Maana kama yupo marekani, alafu anategemea ulinzi kutoka serikali ya marekani
Watumishi kama, ukifatilia maono yao anakqambia alioteshwa kuwa mchungaji kama mganga wakienyeji
 
Arudi tena kwenye chungu akaangalie Hizbullah watavyofanya kitu mbaya taifa la mbuzi mmteule......
 
Hawa wengine tunawajua wanakuwa na matakwa fulani, halafu wanasingizia Mungu kawaonesha.

Ukimtaka athibitishe huyo Mungu yupo, hawezi kuthibitisha, ataishia kukupa longolongo nyingi tu.
 
Utabiri wa hovyo kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe
 
Yesu alisema manabii uchwara watakuja wengi kuelekea siku za mwisho na hilo tayari limeanza kuthibitika.
 
Dream on
 
Huyu mtumishi pia alitabiri Mchungaji Msigwa kushindwa na Sugu kwenye Kanda ya Nyasa na baadae kujiunga na CCM
 
Aiseee! Jf imevamiwa saiv akuna cha maana sasa hii bandko ndy nn?
 
Kijana amka usingizini usije jinyea burea kwenye hayo mashuka
 
Itapingwa?
 
Kuna yule mtabiri alie tabiri dar itazama mwezi wa nne watu wahame nashangaa tupo mwezi wa sita wa saba bado dar haijazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…