Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angeweka na namba za simu, tutor sadaka ili duende mbinguni.Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima.
Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema ameoneshwa na Mungu kua Urusi akishirikiana na china wataipiga Marekani kwa mapigo ya kushitukiza kutokea baharini,angani na nchi kavu.
Mtabiri huyo anaendelea kusema kua Mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya Marekani haitaweza kufanya kazi kabisa dhidi ya mashambulio hayo ambayo yatafanywa bila hata Urusi na china kuichokozwa,wala taarifa au onyo.
Mashambulizi hayo yatalenga kwa ukamulifu kabisa na kupiga shabaha katika maeneo muhimu sana ya kijeshi ya Marekani yaliyokusudiwa kupigwa kiasi jeshi la Marekani halitakua na uwezo wa kujitetea na Kupelekea majeshi hayo kuangukia mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mtabiri anasisistiza kua majeshi ya Urusi yatavinjari ndani ya ardhi ya USA kibabe sana.
Matabiri alieoneshwa na Mungu hakuishia hapo Bali anasema kipigo atakachokua akipewa USA hata washirika wake wa ulaya watashuhudia Kwa macho Yao lakini hawatakua na uwezo wa kumsaidia Marekani,hawataweza kumsaidia kwa sababu uwezo huo hawatakua nao.
Mtabiri anaongeza kua Dunia nzima itashubudia mashambulizi hayo ya kibabe sana atakayokua anapewa USA.
Mtumishi wa Mungu dada huyo wa kimarekani mwenye asili ya Afrika Cerestrial anasema kaoneshwa na Mungu kuhusu jambo hili sio mara moja wala mara mbili Bali mara nyingi kua Mungu mwenyewe ameamua Marekani ipigwa kwa kua imekua kitovu Cha dhambi na uonevu.
Anaendelea kusema kua mamlaka za Marekani wala hazijashituka kwani hawaoni kitisho chochote.
Anasema huo ndio utakavyokua mwisho wa Atlantis.
Atlantis inaenda kuanguka kama zilivyoangua Dola nyingine kama Rumi,egypt,etc.
Anasema kipigo hicho ni Cha kweli na kitatokea muda mfupi ujao sio miaka Bali ni wakati wowote kuanzia Leo.
Angalizo.:
Nimejaribu kutafasiri kwa kiswahili ingawa Mimi sio mtaalamu wa mambo ya lugha.
Mwanadada anapatikana tik tok live unaweza kumsikia na kumuona,
Ametqbiri mambo mengi TU ya kiroho na kijamii na yametokea,
Ametqbiri vifo vya Viongozi wa Dunia mqpinduzi,kupanda na kushuka kwa watu mashuhuri na imetokea,
Ametabiri maisha ya wanamuziki wa USA na nje ya USA kuhusu kupanda ama kushuka kwao na imetokea .
Na ametabiri Kila aina ya utabiri na vimetokea.
Naomba nisishambuliwe Mimi binafsi kwani Mimi nimeleta kama ninavyomfatiliaga.
Ukigoogle unaweza kumpata kwa jina la "Masters voice prophecy "
Kila nikijarubu kuweka video zake nashindwa,kama Kuna mtu anamfatilia na ana uwezo wa kuweka atuwekee,Sina vifaa wala utaalamu wa kuzipandisha.
Wewe una akili sana ndugu.Mjumbe hauwawi au sio
Picha ya nini?! Mwanadada mtumishi akiwa anaota ndoto za mchana ama?Picha tafadhari
Dream onMtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima.
Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema ameoneshwa na Mungu kua Urusi akishirikiana na china wataipiga Marekani kwa mapigo ya kushitukiza kutokea baharini,angani na nchi kavu.
Mtabiri huyo anaendelea kusema kua Mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya Marekani haitaweza kufanya kazi kabisa dhidi ya mashambulio hayo ambayo yatafanywa bila hata Urusi na china kuichokozwa,wala taarifa au onyo.
Mashambulizi hayo yatalenga kwa ukamulifu kabisa na kupiga shabaha katika maeneo muhimu sana ya kijeshi ya Marekani yaliyokusudiwa kupigwa kiasi jeshi la Marekani halitakua na uwezo wa kujitetea na Kupelekea majeshi hayo kuangukia mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mtabiri anasisistiza kua majeshi ya Urusi yatavinjari ndani ya ardhi ya USA kibabe sana.
Matabiri alieoneshwa na Mungu hakuishia hapo Bali anasema kipigo atakachokua akipewa USA hata washirika wake wa ulaya watashuhudia Kwa macho Yao lakini hawatakua na uwezo wa kumsaidia Marekani,hawataweza kumsaidia kwa sababu uwezo huo hawatakua nao.
Mtabiri anaongeza kua Dunia nzima itashubudia mashambulizi hayo ya kibabe sana atakayokua anapewa USA.
Mtumishi wa Mungu dada huyo wa kimarekani mwenye asili ya Afrika Cerestrial anasema kaoneshwa na Mungu kuhusu jambo hili sio mara moja wala mara mbili Bali mara nyingi kua Mungu mwenyewe ameamua Marekani ipigwa kwa kua imekua kitovu Cha dhambi na uonevu.
Anaendelea kusema kua mamlaka za Marekani wala hazijashituka kwani hawaoni kitisho chochote.
Anasema huo ndio utakavyokua mwisho wa Atlantis.
Atlantis inaenda kuanguka kama zilivyoangua Dola nyingine kama Rumi,egypt,etc.
Anasema kipigo hicho ni Cha kweli na kitatokea muda mfupi ujao sio miaka Bali ni wakati wowote kuanzia Leo.
Angalizo.:
Nimejaribu kutafasiri kwa kiswahili ingawa Mimi sio mtaalamu wa mambo ya lugha.
Mwanadada anapatikana tik tok live unaweza kumsikia na kumuona,
Ametqbiri mambo mengi TU ya kiroho na kijamii na yametokea,
Ametqbiri vifo vya Viongozi wa Dunia mqpinduzi,kupanda na kushuka kwa watu mashuhuri na imetokea,
Ametabiri maisha ya wanamuziki wa USA na nje ya USA kuhusu kupanda ama kushuka kwao na imetokea .
Na ametabiri Kila aina ya utabiri na vimetokea.
Naomba nisishambuliwe Mimi binafsi kwani Mimi nimeleta kama ninavyomfatiliaga.
Ukigoogle unaweza kumpata kwa jina la "Masters voice prophecy "
Kila nikijarubu kuweka video zake nashindwa,kama Kuna mtu anamfatilia na ana uwezo wa kuweka atuwekee,Sina vifaa wala utaalamu wa kuzipandisha.
Huyu mtumishi pia alitabiri Mchungaji Msigwa kushindwa na Sugu kwenye Kanda ya Nyasa na baadae kujiunga na CCMMtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima.
Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema ameoneshwa na Mungu kua Urusi akishirikiana na china wataipiga Marekani kwa mapigo ya kushitukiza kutokea baharini,angani na nchi kavu.
Mtabiri huyo anaendelea kusema kua Mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya Marekani haitaweza kufanya kazi kabisa dhidi ya mashambulio hayo ambayo yatafanywa bila hata Urusi na china kuichokozwa,wala taarifa au onyo.
Mashambulizi hayo yatalenga kwa ukamulifu kabisa na kupiga shabaha katika maeneo muhimu sana ya kijeshi ya Marekani yaliyokusudiwa kupigwa kiasi jeshi la Marekani halitakua na uwezo wa kujitetea na Kupelekea majeshi hayo kuangukia mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mtabiri anasisistiza kua majeshi ya Urusi yatavinjari ndani ya ardhi ya USA kibabe sana.
Matabiri alieoneshwa na Mungu hakuishia hapo Bali anasema kipigo atakachokua akipewa USA hata washirika wake wa ulaya watashuhudia Kwa macho Yao lakini hawatakua na uwezo wa kumsaidia Marekani,hawataweza kumsaidia kwa sababu uwezo huo hawatakua nao.
Mtabiri anaongeza kua Dunia nzima itashubudia mashambulizi hayo ya kibabe sana atakayokua anapewa USA.
Mtumishi wa Mungu dada huyo wa kimarekani mwenye asili ya Afrika Cerestrial anasema kaoneshwa na Mungu kuhusu jambo hili sio mara moja wala mara mbili Bali mara nyingi kua Mungu mwenyewe ameamua Marekani ipigwa kwa kua imekua kitovu Cha dhambi na uonevu.
Anaendelea kusema kua mamlaka za Marekani wala hazijashituka kwani hawaoni kitisho chochote.
Anasema huo ndio utakavyokua mwisho wa Atlantis.
Atlantis inaenda kuanguka kama zilivyoangua Dola nyingine kama Rumi,egypt,etc.
Anasema kipigo hicho ni Cha kweli na kitatokea muda mfupi ujao sio miaka Bali ni wakati wowote kuanzia Leo.
Angalizo.:
Nimejaribu kutafasiri kwa kiswahili ingawa Mimi sio mtaalamu wa mambo ya lugha.
Mwanadada anapatikana tik tok live unaweza kumsikia na kumuona,
Ametqbiri mambo mengi TU ya kiroho na kijamii na yametokea,
Ametqbiri vifo vya Viongozi wa Dunia mqpinduzi,kupanda na kushuka kwa watu mashuhuri na imetokea,
Ametabiri maisha ya wanamuziki wa USA na nje ya USA kuhusu kupanda ama kushuka kwao na imetokea .
Na ametabiri Kila aina ya utabiri na vimetokea.
Naomba nisishambuliwe Mimi binafsi kwani Mimi nimeleta kama ninavyomfatiliaga.
Ukigoogle unaweza kumpata kwa jina la "Masters voice prophecy "
Kila nikijarubu kuweka video zake nashindwa,kama Kuna mtu anamfatilia na ana uwezo wa kuweka atuwekee,Sina vifaa wala utaalamu wa kuzipandisha.
Aiseee! Jf imevamiwa saiv akuna cha maana sasa hii bandko ndy nn?Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima.
Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema ameoneshwa na Mungu kua Urusi akishirikiana na china wataipiga Marekani kwa mapigo ya kushitukiza kutokea baharini,angani na nchi kavu.
Mtabiri huyo anaendelea kusema kua Mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya Marekani haitaweza kufanya kazi kabisa dhidi ya mashambulio hayo ambayo yatafanywa bila hata Urusi na china kuichokozwa,wala taarifa au onyo.
Mashambulizi hayo yatalenga kwa ukamulifu kabisa na kupiga shabaha katika maeneo muhimu sana ya kijeshi ya Marekani yaliyokusudiwa kupigwa kiasi jeshi la Marekani halitakua na uwezo wa kujitetea na Kupelekea majeshi hayo kuangukia mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mtabiri anasisistiza kua majeshi ya Urusi yatavinjari ndani ya ardhi ya USA kibabe sana.
Matabiri alieoneshwa na Mungu hakuishia hapo Bali anasema kipigo atakachokua akipewa USA hata washirika wake wa ulaya watashuhudia Kwa macho Yao lakini hawatakua na uwezo wa kumsaidia Marekani,hawataweza kumsaidia kwa sababu uwezo huo hawatakua nao.
Mtabiri anaongeza kua Dunia nzima itashubudia mashambulizi hayo ya kibabe sana atakayokua anapewa USA.
Mtumishi wa Mungu dada huyo wa kimarekani mwenye asili ya Afrika Cerestrial anasema kaoneshwa na Mungu kuhusu jambo hili sio mara moja wala mara mbili Bali mara nyingi kua Mungu mwenyewe ameamua Marekani ipigwa kwa kua imekua kitovu Cha dhambi na uonevu.
Anaendelea kusema kua mamlaka za Marekani wala hazijashituka kwani hawaoni kitisho chochote.
Anasema huo ndio utakavyokua mwisho wa Atlantis.
Atlantis inaenda kuanguka kama zilivyoangua Dola nyingine kama Rumi,egypt,etc.
Anasema kipigo hicho ni Cha kweli na kitatokea muda mfupi ujao sio miaka Bali ni wakati wowote kuanzia Leo.
Angalizo.:
Nimejaribu kutafasiri kwa kiswahili ingawa Mimi sio mtaalamu wa mambo ya lugha.
Mwanadada anapatikana tik tok live unaweza kumsikia na kumuona,
Ametqbiri mambo mengi TU ya kiroho na kijamii na yametokea,
Ametqbiri vifo vya Viongozi wa Dunia mqpinduzi,kupanda na kushuka kwa watu mashuhuri na imetokea,
Ametabiri maisha ya wanamuziki wa USA na nje ya USA kuhusu kupanda ama kushuka kwao na imetokea .
Na ametabiri Kila aina ya utabiri na vimetokea.
Naomba nisishambuliwe Mimi binafsi kwani Mimi nimeleta kama ninavyomfatiliaga.
Ukigoogle unaweza kumpata kwa jina la "Masters voice prophecy "
Kila nikijarubu kuweka video zake nashindwa,kama Kuna mtu anamfatilia na ana uwezo wa kuweka atuwekee,Sina vifaa wala utaalamu wa kuzipandisha.
Kijana amka usingizini usije jinyea burea kwenye hayo mashukaMtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima.
Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema ameoneshwa na Mungu kua Urusi akishirikiana na china wataipiga Marekani kwa mapigo ya kushitukiza kutokea baharini,angani na nchi kavu.
Mtabiri huyo anaendelea kusema kua Mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya Marekani haitaweza kufanya kazi kabisa dhidi ya mashambulio hayo ambayo yatafanywa bila hata Urusi na china kuichokozwa,wala taarifa au onyo.
Mashambulizi hayo yatalenga kwa ukamulifu kabisa na kupiga shabaha katika maeneo muhimu sana ya kijeshi ya Marekani yaliyokusudiwa kupigwa kiasi jeshi la Marekani halitakua na uwezo wa kujitetea na Kupelekea majeshi hayo kuangukia mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mtabiri anasisistiza kua majeshi ya Urusi yatavinjari ndani ya ardhi ya USA kibabe sana.
Matabiri alieoneshwa na Mungu hakuishia hapo Bali anasema kipigo atakachokua akipewa USA hata washirika wake wa ulaya watashuhudia Kwa macho Yao lakini hawatakua na uwezo wa kumsaidia Marekani,hawataweza kumsaidia kwa sababu uwezo huo hawatakua nao.
Mtabiri anaongeza kua Dunia nzima itashubudia mashambulizi hayo ya kibabe sana atakayokua anapewa USA.
Mtumishi wa Mungu dada huyo wa kimarekani mwenye asili ya Afrika Cerestrial anasema kaoneshwa na Mungu kuhusu jambo hili sio mara moja wala mara mbili Bali mara nyingi kua Mungu mwenyewe ameamua Marekani ipigwa kwa kua imekua kitovu Cha dhambi na uonevu.
Anaendelea kusema kua mamlaka za Marekani wala hazijashituka kwani hawaoni kitisho chochote.
Anasema huo ndio utakavyokua mwisho wa Atlantis.
Atlantis inaenda kuanguka kama zilivyoangua Dola nyingine kama Rumi,egypt,etc.
Anasema kipigo hicho ni Cha kweli na kitatokea muda mfupi ujao sio miaka Bali ni wakati wowote kuanzia Leo.
Angalizo.:
Nimejaribu kutafasiri kwa kiswahili ingawa Mimi sio mtaalamu wa mambo ya lugha.
Mwanadada anapatikana tik tok live unaweza kumsikia na kumuona,
Ametqbiri mambo mengi TU ya kiroho na kijamii na yametokea,
Ametqbiri vifo vya Viongozi wa Dunia mqpinduzi,kupanda na kushuka kwa watu mashuhuri na imetokea,
Ametabiri maisha ya wanamuziki wa USA na nje ya USA kuhusu kupanda ama kushuka kwao na imetokea .
Na ametabiri Kila aina ya utabiri na vimetokea.
Naomba nisishambuliwe Mimi binafsi kwani Mimi nimeleta kama ninavyomfatiliaga.
Ukigoogle unaweza kumpata kwa jina la "Masters voice prophecy "
Kila nikijarubu kuweka video zake nashindwa,kama Kuna mtu anamfatilia na ana uwezo wa kuweka atuwekee,Sina vifaa wala utaalamu wa kuzipandisha.
Itapingwa?Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima.
Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema ameoneshwa na Mungu kua Urusi akishirikiana na china wataipiga Marekani kwa mapigo ya kushitukiza kutokea baharini,angani na nchi kavu.
Mtabiri huyo anaendelea kusema kua Mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya Marekani haitaweza kufanya kazi kabisa dhidi ya mashambulio hayo ambayo yatafanywa bila hata Urusi na china kuichokozwa,wala taarifa au onyo.
Mashambulizi hayo yatalenga kwa ukamulifu kabisa na kupiga shabaha katika maeneo muhimu sana ya kijeshi ya Marekani yaliyokusudiwa kupigwa kiasi jeshi la Marekani halitakua na uwezo wa kujitetea na Kupelekea majeshi hayo kuangukia mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mtabiri anasisistiza kua majeshi ya Urusi yatavinjari ndani ya ardhi ya USA kibabe sana.
Matabiri alieoneshwa na Mungu hakuishia hapo Bali anasema kipigo atakachokua akipewa USA hata washirika wake wa ulaya watashuhudia Kwa macho Yao lakini hawatakua na uwezo wa kumsaidia Marekani,hawataweza kumsaidia kwa sababu uwezo huo hawatakua nao.
Mtabiri anaongeza kua Dunia nzima itashubudia mashambulizi hayo ya kibabe sana atakayokua anapewa USA.
Mtumishi wa Mungu dada huyo wa kimarekani mwenye asili ya Afrika Cerestrial anasema kaoneshwa na Mungu kuhusu jambo hili sio mara moja wala mara mbili Bali mara nyingi kua Mungu mwenyewe ameamua Marekani ipigwa kwa kua imekua kitovu Cha dhambi na uonevu.
Anaendelea kusema kua mamlaka za Marekani wala hazijashituka kwani hawaoni kitisho chochote.
Anasema huo ndio utakavyokua mwisho wa Atlantis.
Atlantis inaenda kuanguka kama zilivyoangua Dola nyingine kama Rumi,egypt,etc.
Anasema kipigo hicho ni Cha kweli na kitatokea muda mfupi ujao sio miaka Bali ni wakati wowote kuanzia Leo.
Angalizo.:
Nimejaribu kutafasiri kwa kiswahili ingawa Mimi sio mtaalamu wa mambo ya lugha.
Mwanadada anapatikana tik tok live unaweza kumsikia na kumuona,
Ametqbiri mambo mengi TU ya kiroho na kijamii na yametokea,
Ametqbiri vifo vya Viongozi wa Dunia mqpinduzi,kupanda na kushuka kwa watu mashuhuri na imetokea,
Ametabiri maisha ya wanamuziki wa USA na nje ya USA kuhusu kupanda ama kushuka kwao na imetokea .
Na ametabiri Kila aina ya utabiri na vimetokea.
Naomba nisishambuliwe Mimi binafsi kwani Mimi nimeleta kama ninavyomfatiliaga.
Ukigoogle unaweza kumpata kwa jina la "Masters voice prophecy "
Kila nikijarubu kuweka video zake nashindwa,kama Kuna mtu anamfatilia na ana uwezo wa kuweka atuwekee,Sina vifaa wala utaalamu wa kuzipandisha.
Kwa hiyo wewe ukiwa usingizini hua unajinyea?Kijana amka usingizini usije jinyea burea kwenye hayo mashuka
Hebu Rudi juu nadhani nimefanikiwa kuiwekaUnabii gani unaenda na mdundo wa soga zinazopigwa vijiweni!