Masudi Kipanya akemewe kabla hajaleta machafuko kama Lars Vilks

Hiko kikaragosi chenye suti ya blue ni yule Mchungaji wa kudeal na misukule.
Halafu acha ujinga wakusema CHADEMA ndio wanahusika na "neno"

Sukuma Gang huu mziki mnauimba huko huko ccm na mnaucheza vizuri sana.
 
Kwanza nadhani wewe ulivyoona kikundi fulani kimetajwa hujazingatia ujumbe
Mbona nayeye anasema hakuna hilo genge? Au unataka aseme kwamba hilo genge lipo
Ujumbe upo wazi anawasilisha kwa kutazama kabila. Ni kama wakati wa Hitler walivyofanya wachora vibonzo kwa wayahudi.
 
Yaan mie sijui analenga nini. Maana naona ana machafuko moyoni halafu alichoeka kwa maandishi ji tofauti na uhalisia.
Rwanda kuna kabila liliitwa mende. Una address kabila unaibua hisia. Hisia ni ngumu kudhibiti.
 
pole sana kuwa kwenye hilo kabila.
 
Hahaha masoud he is the real artist i knew from Tanzania anafanya kwa point of view zake na sio ku impress watu
 
"hisia za ukabila ambazo zinaenezwa sasa na wanasiasa wa Chadema"
Sikubaliani na wewe kwa maneno Yako haya.Una ushahidi wowote juu ya madai haya,au unabwatuka tu?
 
Hiyo ni tafsiri yako? Sukuma genge maana yake Genge la Wasukuma? Lugha gani hiyo?
Sukuma ni kabila. Hakuna tafsiri mpya. Sioni afya ya kushambulia wasukuma. Masudi ameingia mtego mbaya sana.
 
Natafuta Kosa la Kipanya katika Hoja zako silioni, ila naona tu Chuki zako Kwake na Ujuha wako uliokutukuka.
 
Bahati nzuri wasukuma sio magaidi kama wale wengine
 
Natafuta Kosa la Kipanya katika Hoja zako silioni, ila naona tu Chuki zako Kwake na Ujuha wako uliokutukuka.
Kosa ni kuaddress kabila la wasukuma, kuanza kupoint kabilas ni mwanzo wa chuki na uhasama. Anyways tangu nipate story zako kuwa wewe si rizki basi nakupuuza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…