Kweli uzuri upo kwa anayeangalia.Sasa huyo aliyevaa orange(suti ya kaptula) viatu rangi ya kijani mpauko naye kakimbiza.Hahahahaha au hilo wigi,ila uzuri upo kwa anayeangalia.
Hili dude hatari aisee...ama kuna mambo ya photoshop kidogo?huyu ni shilole
mkuu unataka kunambia hii alikua amevaa mchina?
Yule dada anashepu lakini sidiria zake zinamwangusha....bado anavaa mama nibebe.kuna yule Eve wa Eve Collections nae ana shepu balaa
Yaan hapo nyuna alibinukaa kwelii au poziii la mpiga pichaaaa ninii