Masuper staa wanaokimbiza kwa shepu nzuri

Masuper staa wanaokimbiza kwa shepu nzuri

Kweli uzuri upo kwa anayeangalia.Sasa huyo aliyevaa orange(suti ya kaptula) viatu rangi ya kijani mpauko naye kakimbiza.Hahahahaha au hilo wigi,ila uzuri upo kwa anayeangalia.

Taja tu jinaaa usiogopee
 
Lulu ana shape nzuri????
muondoe aseee ukileta thread ya sura nzuri ndo umuweke
hapo shape nimeona ya masogange tu, shilole ana six pack hizo hujaziona...
 
Jamani hivi kazi ya hizi shepu huwa inakuaga ni nini? Kwakweli Mungu ni mwema mana wote amewapa kiungo cha muhimu cha uzazi kwa wote uwe una shepu iliyopinda au iliyonyooka lzm hicho kiungo utakua nacho. Mi naona hilo ndo la muhimu mengine mbwembwe.

Angalizo: huu ni mtazamo binafsi.
 
Wema Sepetu!!! duuuh hili toto ni balaa utafikiri haliendi chooni kudadeki,
 
Mkuu uyu mwenye black n white ni nani?

huyu ni shilole
SHILOLE.jpg
 
Nimeshindwa kumsoma mleta uzi.....ni wanne tu hapo ndio naona wanaendana na kichwa cha habari...kama na hao walionyooka nao unaona ni shepu...basi unahitaji ushauri nasaha.

Na umeandika mastaa, ila niliowatambua hapo ni Wema, Masogange, Lulu, Uwoya, Kajala na Shilole.

Na kwa kuongeza wawili ninaowafahamu....Dokii na Witness.
 
Hiyo ya mbuta nangaa aiseer ni balaa halaf anapenda kweli kuvaa nguo fupii masikinii bora apake mchinaaa
 
Mzigo wa Shilole wacha tule tigo sie wowowo kama lile nanyonya tu Jr
 
Back
Top Bottom