Maswahiba wa Gaza ana kwa ana na rais Biden

Hehehe nani asiyesoma, tena ninapata maelfu ya views per day
kwa sasa nimewakusanya nyote mje kwa huu uzi huku mnihidhirishie uwepo wa huyo allah wenu ambaye husababisha mchinje watu
Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....

Kama ni viewers, kumbe jikite kwenye nyuzi za pinde au milo ya kimasikhara huko.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mzeebaba, kitu unatafaa kuelewa ni kwamba hakuna mtu anafurahia vifo vya watu wasio na hatia. Mtu bora ni yule anayelaani kitendo cha Hamas kuuwa watu 1200 na pia kulaani Israel kuendelea kuuwa watu kule Gaza.
Upumbavu mlionao wengi ni kwamba mnataka Hamas wauwe tu ila Israel akiua mnaona anaonea wanawake na watoto. Kwani Hamas walivyoenda kuuwa kule Israel walichagua na kuwaacha hao wanawake na watoto?

Ikiwa wewe unafurahia kitendo cha Hamas kuuwa huna tofauti na wanaofurahia Israel kuuwa. Wote ni wapumbavu tu hamna namna ya wewe kujitoa kwenye hilo kundi la wapumbavu.
Japo siungi mkono kilicho fanywa na hamas hasa kuuwa na kuteka raia wa mataifa mengine ila hoja na sababu walizo tumia Hamas kufanya hilo shambulizi zina mashiko na ndio maana hakuna nchi ambazo zimeilaani Hamas zaidi nchi za Magharibi ambazo zina masilahi ya moja kwa moja kwa Israel.

Kwani Israel ingekuwa ndani ya mipaka yake na angekuwa anawatendea haki wapalestina Hamas wangekuwa na sababu gani ya kufanya lile shambulizi?

Hebu ww jaribu kujiweka kwenye nafasi ya wanaume wa kipalestina, watoto wako waweke kwenye nafasi ya watoto wa kipalestina ,mkeo na mama yako muweke kwenye nafasi ya wanawake wa kipalestina je nyinyi mnaweza kusitahimili matendo ya Israel anayo wafanyia wapalestina?
Leo hii %70 ya wapalestina wanaishi kwenye kambi za wakimbizi baada ya kunyanganywa nyumba zao na ardhi zao je ww unge weza kusitahimili hilo?
Israel ina wafunga maelfu ya watoto na wanawake kwenye magereza ulitaka wapalestina wafanyeje ili wenzao waachiwe?

Katibu wa umoja wa mataifa alisha lisema kuwa shambulizi la hamas halikutokea bahati mbaya bali lina sababu hata wanasiasa ndani ya Marekani, Ulaya, mpaka ndani ya Israel penyewe wamekili kuwa siasa za kikatili dhidi ya wapalestina za waziri mkuu wa Israel Netanyau zimechangia pakubwa sana mashambulizi ya October 7.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa hakuna ushahidi wowote wa Hamas kuuwa watoto siku ya shambulizi na umoja wa mataifa uliiomba ushahidi serikali ya Israel wakashindwa kudhibitisha.

Pia nchi Israel kila raia kuanzia miaka 18 ni mwanajeshi awe wa kike au wa kiume.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaposema hakuna ushahidi wa kuuliwa kwa watoto kwenye idadi ya watu 1200 ni wazi kwamba ni lazima iwe wauwaji waliwaweka pembeni watoto wakawauwa watu wazima. Ikiwa wauwaji waliamua kuuwa tu ni lazima kuna watoto pia wamo humo. Halafu Israel sidhani kama wao wameamua kulenga kuuwa watoto tu pamoja na wanawake ni kwamba wanauwa tu kila aliyepo mbele yao. Sasa hoja ya kuwataja watoto na wanawake ni kutaka kuonyesha huruma.
Kimsingi na kibinadamu hakuna sababu yoyote inayoweza kuwapa mamlaka Hamas kuvamia na kuua watu. Kitendo cha kuua halaiki ya watu ni Jambo baya.

Maelezo yako unaonyesha unaona Hamas wana hoja ya msingi ya kuwauwa wale 1200, why huoni kwamba Israel nayo ilikuwa na hoja ya msingi ya kujibu mashambulizi? Au ulitaka Israel ikae kimya?

Nitakuona mtu wa maana sana ikiwa utalaani hivi vitendo vya mauwaji na usijiungamanishe na kundi lolote.
 
Mada inahusu nini labda, maana sitegemei kujadili chocote cha maana na mazombi wa kidini mnaoshabikia huu upuzi

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Zombie linapokutaji kuelezwa kwa maandishi yaliyoandikwa kwa maandishi
 
Unaposema hakuna ushahidi wa kuuliwa kwa watoto kwenye idadi ya watu 1200 ni wazi kwamba ni lazima iwe wauwaji waliwaweka pembeni watoto wakawauwa watu wazima. Ikiwa wauwaji waliamua kuuwa tu ni lazima kuna watoto pia wamo humo. Halafu Israel sidhani kama wao wameamua kulenga kuuwa watoto tu pamoja na wanawake ni kwamba wanauwa tu kila aliyepo mbele yao. Sasa hoja ya kuwataja watoto na wanawake ni kutaka kuonyesha huruma.
Kimsingi na kibinadamu hakuna sababu yoyote inayoweza kuwapa mamlaka Hamas kuvamia na kuua watu. Kitendo cha kuua halaiki ya watu ni Jambo baya.

Maelezo yako unaonyesha unaona Hamas wana hoja ya msingi ya kuwauwa wale 1200, why huoni kwamba Israel nayo ilikuwa na hoja ya msingi ya kujibu mashambulizi? Au ulitaka Israel ikae kimya?

Nitakuona mtu wa maana sana ikiwa utalaani hivi vitendo vya mauwaji na usijiungamanishe na kundi lolote.

Kulikoni kutaka kuuhepa ukweli wa wazi kuwa pana tatizo la muda mrefu mashariki ya kati?

South Africa: Unyama wa Israel haukuanza Oct 7
 
Tatizo la muda mrefu suluhisho ni kuvamia na kuua au sio?
Tatizo la muda mrefu la kuvamiwa na kuuwawa kujibiwa kama lilivyo, wewe hupendi siyo?

Kwamba ni mkuki kwa nguruwe siyo?
 
Kama wanajibizana kwa mashambulizi wote wanakosea, kosa lingine ni wewe kuona Hamas wana haki ya kuvamia ila waisrael wakiua unaona ni waonevu.
 
1. Tatizo lako ni kuniwekea maneno mdomoni.

2. Kosa langu hilo ulisemalo unalinukuu kutokea wapi ndugu?
 
Wa kulaumiwa ni hamas walichokifanya oktoba .7, madhara yake ndiyo hayo
 
Basi sawa tupo pamoja ikiwa hujalalia upande wowote, ikiwa unaona kuna kundi lipo sahii ndo kosa lilipo hapo.

Tunawahi sana kuwawekea watu maneno mdomoni na bila ya ushahidi wowote
 
Unaposema hakuna ushahidi wa kuuliwa kwa watoto kwenye idadi ya watu 1200 ni wazi kwamba ni lazima iwe wauwaji waliwaweka pembeni watoto wakawauwa watu wazima. Ikiwa wauwaji waliamua kuuwa tu ni lazima kuna watoto pia wamo humo. Halafu Israel sidhani kama wao wameamua kulenga kuuwa watoto tu pamoja na wanawake ni kwamba wanauwa tu kila aliyepo mbele yao. Sasa hoja ya kuwataja watoto na wanawake ni kutaka kuonyesha huruma.
Kimsingi na kibinadamu hakuna sababu yoyote inayoweza kuwapa mamlaka Hamas kuvamia na kuua watu. Kitendo cha kuua halaiki ya watu ni Jambo baya.

Maelezo yako unaonyesha unaona Hamas wana hoja ya msingi ya kuwauwa wale 1200, why huoni kwamba Israel nayo ilikuwa na hoja ya msingi ya kujibu mashambulizi? Au ulitaka Israel ikae kimya?

Nitakuona mtu wa maana sana ikiwa utalaani hivi vitendo vya mauwaji na usijiungamanishe na kundi lolote.
the most equipped military force with high tech weapon and aircraft systems F35 F15 F16 in a 90 days cannot take small stretch of land .
the day they pull out their Golani brigade from ghaza it shows the weakness they have.
do you thin the army failed to take small stretch of will be Able to. face militaries in the area
They should have listened to Ishaq Rabin but they killed him he was close to bring peace to Israel ..
 
Tunawahi sana kuwawekea watu maneno mdomoni na bila ya ushahidi wowote
Mzeebaba, mwanzo ulisema hoja ya October 7 ni ya kipumbavu means unaona ni halali tu Hamas kuuwa eti kwa sababu wao wameteswa kwa miaka 75. Sasa hapo si umeshaonyesha upo upande gani! Kuvamia na kuuwa halaiki ya watu ndo kutatua tatizo? Halafu hapo hapo Israel ikienda kulipiza kisasi cha kuuliwa watu wake muwaone jamaa ni waonevu. Haki itendeke mapigano yaachwe kila mmoja apate anachostahiki hilo ndo Jambo jema.
 
1. Hakuna popote niliposema hivyo.

2. Neno "upumbavu" silitumii kabisa kwani ni tusi.

3. Si sahihi hata kIdogo kuniwekea neno lolote mdomoni ambalo sijalisema.

4. Zaidi sana ustaarabu huwa ni kuonyesha wapi niliposema unalo nituhumu nalo.

Au nasema uongo?
 
Sorry mzee, nimeangalia hapa sio wewe,....kuna jamaa nilikuwa najibizana nae we ukaingilia kati.
 
1. Courtesy ya kusema "sorry" ni ustaarabu uliotukuka, waungwana tu huwa nao; kudos mkuu.

2. Si watu kama ndugu zangu wengine kama NK254, Fantan20 na wa namna hiyo ambao Dr. Mollel hakuacha kuwaangazia:

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg

3. Bila uthibitisho wowote wanakwenda wana brand dini wanazotaka wao wengine kuwa nazo kwa kutofautiana na Israel tu.

4. Kwamba kwa vile wao ni wadini basi na wengine pia.

Bure kabisa!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom