Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 1,183
- 2,256
Kweli kabisa, hii vita watu wanachagua upande kwa kigezo cha dini. Kuna mtu wa ovyo kabisa humu anaitwa Faiza, huyu ndo bure kabisa.1. Courtesy ya kusema "sorry" ni ustaarabu uliotukuka, waungwana tu huwa nao; kudos mkuu.
2. Si watu kama ndugu zangu wengine kama NK254, Fantan20 na wa namna hiyo ambao Dr. Mollel hakuacha kuwaangazia:
View attachment 2868834
3. Bila uthibitisho wowote wanakwenda wana brand dini wanazotaka wao wengine kuwa nazo kwa kutofautiana na Israel tu.
4. Kwamba kwa vile wao ni wadini basi na wengine pia.
Bure kabisa!