Maswala ya katiba Mbovu ni Makosa ya Watawala waliotangulia wote, sio Mama!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,813
Reaction score
3,430
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na Machawa waliosifia kila kitu alichosema/ kufanya)
Nyerere alifadhaisha sana wapinzani wa sera zake akina Kambona,Kasanga Tumbo n.k
Nyerere alitumia vyombo vya ulinzi na usalama kuminya wapinzani ( Waliitwa Mbwa wa Nyerere enzi hizo) Nyerere hata kumtaja jina watu waliogopa mashushu!
Mama amerithi tu shida za watangulizi wake,hakuna jipya wala la ziada, tupate katiba mpya inayoangazia kila eneo kwa ustawi wa Taifa
 
Watanzania tinachohitaji ni katiba mpya,habari za ni mtawala wazamani au mpya haituhusu
 
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na Machawa waliosifia kila kitu alichosema/ kufanya)
Nyerere alifadhaisha sana wapinzani wa sera zake akina Kambona,Kasanga Tumbo n.k
Nyerere alitumia vyombo vya ulinzi na usalama kuminya wapinzani ( Waliitwa Mbwa wa Nyerere enzi hizo) Nyerere hata kumtaja jina watu waliogopa mashushu!
Mama amerithi tu shida za watangulizi wake,hakuna jipya wala la ziada, tupate katiba mpya inayoangazia kila eneo kwa ustawi wa Taifa

..makosa ya Mama ni mauaji OCT 29.

..Nyerere alikuwa na Katiba Mbovu kuliko iliyoko sasa hivi lakini hakuuwa watoto kama alivyofanya Mama.
 
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na Machawa waliosifia kila kitu alichosema/ kufanya)
Nyerere alifadhaisha sana wapinzani wa sera zake akina Kambona,Kasanga Tumbo n.k
Nyerere alitumia vyombo vya ulinzi na usalama kuminya wapinzani ( Waliitwa Mbwa wa Nyerere enzi hizo) Nyerere hata kumtaja jina watu waliogopa mashushu!
Mama amerithi tu shida za watangulizi wake,hakuna jipya wala la ziada, tupate katiba mpya inayoangazia kila eneo kwa ustawi wa Taifa
Nyererere
 
Kama yeye ni mwathirika wa katiba hii mbovu, kwanini serikali yake inatumia nguvu kubwa na rasilimali kuzuia wanaharakati na wananchi wanaodai katiba mpya?
 
Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wote wameitumia na kote huko wananchi walidai mabadiliko ya katiba. kama unakiri katiba ina mapungufu au makosa basi Rais Samia arekebishe, wananchi tunasubiria kuona hilo ili nae asiitumie ikiwa na makosa!
 
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na Machawa waliosifia kila kitu alichosema/ kufanya)
Nyerere alifadhaisha sana wapinzani wa sera zake akina Kambona,Kasanga Tumbo n.k
Nyerere alitumia vyombo vya ulinzi na usalama kuminya wapinzani ( Waliitwa Mbwa wa Nyerere enzi hizo) Nyerere hata kumtaja jina watu waliogopa mashushu!
Mama amerithi tu shida za watangulizi wake,hakuna jipya wala la ziada, tupate katiba mpya inayoangazia kila eneo kwa ustawi wa Taifa
Nani kasema kosa la mama! Katiba mpya ni hitaji la miaka mingi, kumbuka rasimu ya mzee Warioba ilipoanza na ndiyo tuliyoitaka japo CCM waliikataa rasimu ya wananchi wakatengeneza yao ya CCM.
 
Kama dunia inabadilika kwanini Katiba isibadilike?

Lilikuwa na jambo la muda tu watu kadai mabadiliko ya Katiba hata Rais angekua nani.
 
Nyie wapuuzi bado mnamlaumu Nyerere miaka 40 baada ya kuondoka madarakani! Nyie kazi yenu nini katika hii nchi! Kula tu! Alifanya alichofanya akawaachia nyie mmrekebishe alichokosea kwa kuwa hakuwa malaika. Tena wapuuzi wengi wanaosema hivi ni mawakala wa watawala waovu wa nchi hii, kwemu kumlaumu Nyerere ndiyo kchaka chenu cha kujifichia upumbavu wenu!
 
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na Machawa waliosifia kila kitu alichosema/ kufanya)
Nyerere alifadhaisha sana wapinzani wa sera zake akina Kambona,Kasanga Tumbo n.k
Nyerere alitumia vyombo vya ulinzi na usalama kuminya wapinzani ( Waliitwa Mbwa wa Nyerere enzi hizo) Nyerere hata kumtaja jina watu waliogopa mashushu!
Mama amerithi tu shida za watangulizi wake,hakuna jipya wala la ziada, tupate katiba mpya inayoangazia kila eneo kwa ustawi wa Taifa

Kwani mpaka sasa tunaongozwa na Nyerere? Kwanini isibadilishwe kama haiendani na nyakati za sasa? Au haikizi mahitaji yaliyopo?

Mabadiliko ni kitu kisichoepukika kwenye maisha ya binadamu
 
Back
Top Bottom