Mama Pasco
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 453
- 446
Yes like serious kwa sababu maswali Kama hayo ndio watoa hela za sensa huko majuu wanauliza yaani wewe ndio useme Kama me au ke au transgenderIlo swali la 3 la kiwaki sana.
Je, wewe ni mwanaume au mwanamke?
Like SERIOUS?
Usiku maprof ndio wamebuni hayo maswali.Wamenishangaza sana. Maswali yapo 100, na mengi sana yanaweza kujibiwa na taarifa za mtu zilizopo NIDA
You're very right!Yes like serious kwa sababu maswali Kama hayo ndio watoa hela za sensa huko majuu wanauliza yaani wewe ndio useme Kama me au ke au transgender
Hutaulizwa maswali yote. Mfano swali la 30, hutaulizwa. Maswali ya fertility 68 hutaulizwa maana wewe ni zaidi ya miaka 49.Nimeona utitiri wa maswali.
Hao waandaa hilo dodoso sijui waliwaza nini, yaani mimi na uzee huu nikae mtu ananiuliza maswali zaidi ya mia, siwezi.
Labda kuwe na posho ya wakuu wa kaya.
Masikini, hili ni swali muhimu sana na makosa yake yanaitwa sex error. Tunapata uwiano kati ya wanaume na wanawake. Kila swali lazima liulizwe, ila uulizwaji ndiyo tofauti. Usisahau siku hizi wanaume wengine wanasuka, wanatoga masikio hata hereni wanavaa.Yes like serious kwa sababu maswali Kama hayo ndio watoa hela za sensa huko majuu wanauliza yaani wewe ndio useme Kama me au ke au transgender
Mimi hawatonikuta kabisa kesho, hayo maswali Kama Kibatala anamuhoji Shahidi wa jamuhuri siwezi kuyajibu, maana ntakuwa hoiNimeona utitiri wa maswali.
Hao walioandaa hilo dodoso sijui waliwaza nini, yaani mimi na uzee huu nikae mtu ananiuliza maswali zaidi ya mia, siwezi.
Labda kuwe na posho ya wakuu wa kaya.
Kuna makarani watapigwa makofi,Ilo swali la 3 la kiwaki sana.
Je, wewe ni mwanaume au mwanamke?
Like SERIOUS?
Duuuh swali la kindezi SANAKuna makarani watapigwa makofi,
Haiwezeka mzee una midevu na sura ngumu, halafu unaulizwa wewe ni mwanaume au mwanamke,
Jibu lake simpo sana "wewe hunioni?"Ilo swali la 3 la kiwaki sana.
Je, wewe ni mwanaume au mwanamke?
Like SERIOUS?
Mkuu Influenza , asante sana kwa maswali haya, Haya ni maswali muhimu sana kwa wale wenzetu wanajishughulisha na ile biashara, the oldest professional kuendesha maisha yao!.55. Je, unajishughulisha na shughuli ndogo ndogo zisizo rasmi/machinga?56.Je, ni ipi shughuli kuu ya kiuchumi unayofanya?