Maswali 100 ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022

Ilo swali la 3 la kiwaki sana.

Je, wewe ni mwanaume au mwanamke?

Like SERIOUS?
Hahahaaah maswali mengine ya kipuuzi sana.

RITA wakati wa kujaza fomu ya cheti cha kuzaliwa unaulizwa eti "ULIZALIWA UKIWA UMEKUFA au UKIWA HAI"
 
Watu ni wanoko sana. Too much negativity for something as cool as this. Maswali yote ni logical na ni muhiju pia. Sasa usipoulizwa swali la jinsi (ME/KE), kule majuu Mwigulu Nchemba atajuaje?

NB: Kati ya komenti zote 65, mia πŸ™‚ ni extremely negative!!!



mama D
 
😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 

Hilo swali la jinsia ni muhimu
Mtu anaweza kuwa na ndevu na sauti nzito na akawa mwanamke
Au akawa na sauti nyororo na akawa mwanaume

Jinsia haipo usoniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Uso wa mtu ni huu tunaouna wenye pua, mdomo, macho..... ila sura ya mtu ni Ile jinsia yake ya kike au ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…