ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Hii ndio DANGANYA TOTO YA CCM Miaka yote lakini imeshachuja haina mashiko tena kwa sababu huo ni UONGO na umeshajulikana !Human rights za kutaka midume ifi....r..a..ne!!?? Huo ni upumbavu ambao hata Mungu atasimama na chama tawala!!
Uulisoma mpaka darasa la ngapi? Chuo gani! Ulisoma course gani? Ulimaliza mwaka gani?Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Asante mtoa mada kwa uelewa wako mfupi na maswali yako ya kinafiki ambayo majibu yake ni:-Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Uhuru wa Afrika siyo kutekana,kuuana na kubaguana.Tunachopigania kila siku Afrika kuwa huru ila kuna vichwa wao wanaamini katika kutawaliwa. Ushauri wangu, ambao mnataka kutawaliwa mtengeneze umoja wenu alafu mkawaombe muishi ulaya.
Kwa maana hiyo na kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 13(5) neno UBAGUZI lina maana ya Kutimiza haja,haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia Utaifa wao,Kabila lao,Pahala walipotokea,MAONI YAO YA KISIASA(No Reform No Election),Rangi,Dini,Jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa DHAIFU AU DUNI(CHADEMA) na Kuwekewa Vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa Aina nyingine (CCM)wanatendewa tofauti au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima.Uhuru wa Afrika siyo kutekana,kuuana na kubaguana.
1.Watu wote ni sawa mbele ya sheria,na wanayo haki,bila ya UBAGUZI wowote,kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria.
2.Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na Mamlaka Yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la UBAGUZI ama wa dhahiri au kwa taathira yake.
3.Ni marufuku kwa mtu yeyot KUBAGULIWA na MTU au MAMLAKA YOYOTE inayotekeleza madaraka yake chini ya SHERIA YOYOTE au katika UTEKELAZAJI WA KAZI au SHUGHULI YOYOTE YA MAMLAKA YA NCHI.
Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 13(1),(2) na (4).
Imagine you, the one asking me these questions, have a Degree/ Masters/PhD in Claiming within Political Science.ππUulisoma mpaka darasa la ngapi? Chuo gani! Ulisoma course gani? Ulimaliza mwaka gani?
Usikute nawe una degree wewe
akili ndogo sanaImagine you, the one asking me these questions, have a Degree/ Masters/PhD in Claiming within Political Science.ππ
Ni muhimu kusoma na kuelewa kabla ya kujidhalilisha na utoaji wa hoja. Sawa, ni maoni yako mwenyewe, kuna utofauti wa kujadili na kuiamulia Taifa lingine lifanye nini. Maamuzi ni ya Taifa husika sio kwa ajili ya Taifa lingine.Asante mtoa mada kwa uelewa wako mfupi na maswali yako ya kinafiki ambayo majibu yake ni:-
1.Waliozuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu ni CCM na Tume Ya Uchaguzi.
2."Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa,isiyokuwa na dini,yenye kufuata Mfumo wa Vyama Vingi vya SIASA."(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 3(1))Kwa kutumia msingi huo wa sheria ya Tanzania,na kwa vile Tanzania ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa,Bunge linayo haki na mamlaka ya kujadili mambo yanayoendelea kama member wake kwenye Umoja wa Mataifa.Katiba ya Tanzania kwanza inapotoshwa na hali ya SIASA iliyopo sasa kwani siyo nchi inayofuata Mfumo wa Vyama Vingi Vya Siasa bali imekuwa ni nchi inayofuata Mfumo wa CCM,POLICE na VYOMBO VYA USALAMA na pia ni nchi ambayo inaamini katika mabavu(DICTATORSHIP STATE) kama Rwanda,Uganda,Burundi,Somalia na DRC.
3.Bunge la Ulaya lina mamlaka ya kuingilia mambo ya Tanzania kwa sababu Tanzania ni member wa Umoja wa Mataifa ambao kiini chake ni kutambua thamani ya binadamu.(Binadamu wote huzaliwa huru,na wote ni sawa.Ambapo kila mtu anastahili Heshima ya kutambuliwa na Kuthaminiwa UTU WAKE)Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.
Kwa hali ilivyo sasa je HESHIMA YA KUTAMBULIWA NA KUTHAMINIWA UTU WA MTU AMBAYE SIYO MWANACCM IPO?Watanzania ni ndugu moja CCM au CHADEMA visitugombanishe.
4.Tanzania haiwezi kuingilia mambo ya Ulaya kwa sababu Ulaya wanajitambua na wanajua fika thamani ya VIUMBE HAI vilivyoumbwa na Mungu.
5.ISRAEL anapambania nchi yake ambayo ilivamiwa kiharamia na HAMAS mwaka juzi OKTOBA.
6.Bunge la Ulaya limejadili kwa kina na ndiyo maana UKRAINE inatamba mpaka leo.Bila Bunge la Ulaya kuweka makucha katika vita hiyo mpaka sasa UKRAINE ingekuwa mkoa au jimbo ndani nchi ya URUSI chini ya DICTATOR PUTIN.
7.DRC inanyonywa na ndugu zake Rwanda na Uganda.Lakini mnyonyaji mkuu ni Rwanda ambaye ameiweka DRC kama shamba lake.Na ndiyo maana nchi nyingi za Ulaya ikiwemo Uingereza na Ufaransa walikata misaada kwa Rwanda.
8.Ndiyo 100% ya sheria zote unazotumia wewe zinatoka Ulaya kasoro tu UTEKAJI,SIASA CHAFU,UNYANYASAJI NA RUSHWA.
Sawa akili kiduchu. Shukrani kwa kuonyesha uwezo wako wa kujenga hoja. ππakili ndogo sana
Huyo ni mbuzi, hata huo ucha hana.Huyu ni Mcha Mbuzi au Mwanadiplomasia ?
SIJASOMA MPAKA MWISHO ILA BUNGE LA ULAYA LINA HAKI YA KUWASAIDIA WATz SABABU HAWAJITAMBUI NA PIA WAOGA WANAOGOPA KUSEMAIkiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Sijaelewa unatokea nchi gani, ila kwa kubashiri, unakotoka ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.SIJASOMA MPAKA MWISHO ILA BUNGE LA ULAYA LINA HAKI YA KUWASAIDIA WATz SABABU HAWAJITAMBUI NA PIA WAOGA WANAOGOPA KUSEMA
πππ Hapana huyo mbuzi unayemzungumzia nadhani atakua wewe ila mimi ni Greatest of All Time (GOAT) kwenye uchambuzi wa masuala ya kisiasa na mwana-diplomasia.Huyo ni mbuzi, hata huo ucha hana.
Kwa hiyo unaona sheria ya ushoga inacheleeeewa au sio!!?Wale wanene dodoma waliowekana kinyumba mbona hawajasubiri sheria?
Wase...n.g.e bana!! Hii hoja nzito ya kuutaka ushoga kwako unaona ni ndogo!!??Hii ndio DANGANYA TOTO YA CCM Miaka yote lakini imeshachuja haina mashiko tena kwa sababu huo ni UONGO na umeshajulikana !
Huoni wanene wameona walianzishe itawakuta mbele kwa mbele kama itakuja, hawana mda wa kuisubiriKwa hiyo unaona sheria ya ushoga inacheleeeewa au sio!!?