Mufupi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 945
- 910
Mkuu kwakuwa EU wametuingilia bila sababu je, kwanin tusitunishe misulii kama rwanda?Sawa Gift Mzalendo, kwanza naona umetumia wingi kama vile "mnateka" "mnaua" sasa ndio najiuliza hawa ni akina nani? Maana inaonekana umewajumuisha watanzania wote alafu wewe ukajiondoa basi niseme wewe ndie Mbunge wa Bunge la Ulaya ambaye umejitokeza kujibu maswali kwa niaba yao.
Iko hivi, kila Taifa hua inayomisingi kulingana na tamaduni zake iliyojijengea kutimiza malengo yake mfano Taifa kama Korea Kaskazini ambaye kiongozi wake ni Kim Jong Un a.k.a Kiduku hawa ukithubutu hata kunyoa kama yeye umeenda na maji, je kunyoa si haki? Na mataifa mengine na mifano ipo wazi mno. Hapa sitaki kuhalalisha kitu unachokiita mauaji bali nakufungua ubongo utambue mataifa mengine mnayoona yametulia wamekuwa na mipaka kwenye haki namna gani. Je, wewe ulishasikia mmekaa pale bungeni kwenu hapo uingereza kuwajadili? Okay! Labda mtaanza kusingizia makubaliano ya EU members lakini muhimu hapa tujiulize mlishaona wapi kwenye hiyo mikataba inasema "ukimweka tunayempenda jela au kumfungulia kesi basi tutaingilia sheria zenu za ndani pamoja na mamlaka ili kumwachia huyo tunayempenda". Kama upo huo mkataba weka wazi. Msitumie neno haki kwenye makubaliano mkaipachika kana kwamba sasa mnaouwezo wa kuamrisha mamlaka ya nchi nyingine.
Nadhani, mtakua mnapata somo kidogo-kidogo.
Kama ikiwezana tuwafukuze wajumbe watakao kuja kwetu kwa ajili ya hilo.
Na tuwaonye EU waaache kudandia hoja zisizowahusu.
Na tena tuwafunge wote wanasapoti hayo maelekezo ya EU.
Tena twende mbali kabsaa kuwawekea vikwazo nchi za Ulaya.
Ila kama kweli hoja za EU zinamashiko tuzichukue na kuzitekeleza kama vile serikali ya CCM inavyo itaka CDM kufuata maelekezo yake.