Maswali fikirishi juu ya uuzwaji wa dhahabu yetu

Maswali fikirishi juu ya uuzwaji wa dhahabu yetu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Je dalali ni nani?
Je atawekwa wazi?
Atakula bei gani?
Je kiwango atakacholipwa kitawekwa hadharani?
Nani katoa connection?
Atakula bei gani?
Je itauzwa kwa bei ya soko?
Je hakutakuwa na michezo ya upigaji? Kwenye bei, kwenye ujazo, kwenye idadi kwenye gharama za mauzo?

Hili ni dili la mabilioni na tayari linatolewa macho na wengi kama bado halijakamilika
Kipindi hiki ni kipindi hatari sana kwa maisha yetu maana yeyote atakayeonekana mnoko ama kitisho! AMA ZAKE.. AMA ZAO..!
Tafakuri ya kuuza na maono ya baadae ya Tanganyika kwasasa sio ishu.. Ishu dili litiki watu wakajenge heshima mitaani
 
Ukiona manyoya ujue ndege ashaliwa.
 
Hapo nchi itafaidi 50% asilimia nyingine zitagawanywa vibaya mno: dalali, jk, rostam, sa100, bunge, wizara na takataka nyingne
 
Umenena mkuu hapo dili lilishaisha
Kama Bandari tu, watu walitangaziwa wakati dili kishafanyika. Bongo ukisikia serikali imetoa taarifa kama hizo ujue jambo lishafanyika zamani tu, hapo wanatoa taarifa tu ndo maana hata mlalamike vipi huwa jambo halibadiriki sababu tayari limeshaisha.Hapo tutapiga tu kelele na kushauri kitu kilichofanya tayari,haisaidii na wala haibadirishi kitu kwakweli.
 
Back
Top Bottom