Ukiona manyoya ujue ndege ashaliwa.Je dalali ni nani?
Je atawekwa wazi?
Atakula bei gani?
Je kiwango atakacholipwa kitawekwa hadharani?
Nani katoa connection?
Atakula bei gani?
Je itauzwa kwa bei ya soko?
Je hakutakuwa na michezo ya upigaji? Kwenye bei, kwenye ujazo, kwenye idadi kwenye gharama za mauzo?
Hili ni dili la mabilioni na tayari linatolewa macho na wengi kama bado halijakamilika
Kipindi hiki ni kipindi hatari sana kwa maisha yetu maana yeyote atakayeonekana mnoko ama kitisho! AMA ZAKE.. AMA ZAO..!
Tafakuri ya kuuza na maono ya baadae ya Tanganyika kwasasa sio ishu.. Ishu dili litiki watu wakajenge heshima mitaani
Ukiona manyoya ujue ndege ashaliwa.
Kama Bandari tu, watu walitangaziwa wakati dili kishafanyika. Bongo ukisikia serikali imetoa taarifa kama hizo ujue jambo lishafanyika zamani tu, hapo wanatoa taarifa tu ndo maana hata mlalamike vipi huwa jambo halibadiriki sababu tayari limeshaisha.Hapo tutapiga tu kelele na kushauri kitu kilichofanya tayari,haisaidii na wala haibadirishi kitu kwakweli.Umenena mkuu hapo dili lilishaisha
BRAVOO MKUU...?Hutokea pale matumizi ya serikali yanapakua makubwa sana kuliko mapato na vyanzo vyake na hawataki kujishusha...
Posho, vikao, safari, mishahara ya wenza wa wastaafu, Bunge liliojaa wabunge wengi bila tija, Wizara kua na mawaziri wengi wengi bila sababu za msingi...
Cc: Mahondaw
Hiyo 50% Itakuwa imepata sanaHapo nchi itafaidi 50% asilimia nyingine zitagawanywa vibaya mno: dalali, jk, rostam, sa100, bunge, wizara na takataka nyingne