Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

wewe una support hekaya kwa kutumia hekaya nyingine?
case ya yona na hii ni tofauti kabisa, hapa unazungumzia kizazi cha viumbe vyote duniani kuteketezwa kisha kuanza upya tena kwa namna ambayo haiwezi kuelezewa kwa maelezo ya kama hayo ya mtu mmoja
 
Mkuu,sifa mojawapo ya muumba ni kufanya atakalo kwa muda atakao vile atakavyo bila kutaka ushauri kwa chochote wala yoyote.
 
Stori za kufifisha ubongo zipo zaidi kwenye Quran. Thatz y hata namna yenu ya kufikiri ni kama mnatumia kichwa kidogo!!! Stori za alfulela ulela utazipata kwny quran na mnaziamini na kuzingatia ndomana tuna Alshabaab, Alqaeda, IS nk. Hapo nani kaathiriwa na maandiko ya dini yake!!!!???
 
na bible ndo iliwafanya mualalishe ushoga??[emoji780]
 
SAMAHANI MKUU NAOMBA KUULIZA,HII YA NUHU KUWA MLEVI NA KUCHEKWA NA MWANAE IMEANDIKWA KATIKA KITABU GANI?.MAANA NAONA TUUU INAZUNGUMZIWA.

Genesis 9
20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;

21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.

22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.

23 Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.

24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
 
Mkuu,sifa mojawapo ya muumba ni kufanya atakalo kwa muda atakao vile atakavyo bila kutaka ushauri kwa chochote wala yoyote.
Mkuu suala la Muumba kufanya atakalo kwa muda atakao bila kutaka ushauri wa chochote wala yeyote ni sahihi ila haina maana anafanya vitu visivyoingia akilini kwa sababu ili mwanadamu amuelewe Muumba wake vizuri ni muhimu apate maarifa yanayoonesha kuwa huyu Muumba kweli ni muumba na exceptional. Vinginevyo yeyote anaweza kudai hata Kabati ni Muumba kwa sababu Muumba ameamua kuwa kama kabati na kwa kuwa huwa haombi ushauri wa yeyote utalazimika kuamini hilo kabati ni muumba wako, sasa je wewe kwa akili yako unaona hiyo ni sawa? Utakubali kuambiwa kabati fulani ni muumba wako kwa sababu tu Muumba anafanya atakalo kwa wakati autakao na namna aitakayo??!!
 
yaani huyu muumba yupo very impulsive, hana busara kabisa halafu sisi tumuelewe?
itakua ngumu
 
 
Real G, do ya know anything about wave propagation? Do you know anything about the semicondoctor physics? These are things which some scientists have experimented to human level. May years past no body believed test a person A could communicate with B three hundred miles away but now that is no longer a problem. What ever has notyet been revealed to you by the Greatspirit should not be questioned/taken the wa you wish
 
what do they got to do with my post? what do the so called holy spirit got to do with physics?
 
It is called miracle
 
Very good questions, but if God brought rain for 40 days, day and night, then all is possible to him, no need of searching for answers to these questions...
Our planet earth is round like a huge ball just hanging without holding anywhere,anything and u are just there chilling..
Doesn't this suprise u more than tht story of Nuhu??
 
Wewe unaongelea uasi wa Adamu na Hawa, wakati wenzio wanaongelea Safina la Nuhu mziwanda, gharika na jinsi vitu alivyokusanya, vilipokujakuwa vipole kabisa, hadi palivyokauka.
 
Mkuu hizi zaweza kuwa stori za kufikirisha tu.
Hivi kwa mfano ike historia ya Mussa na wana wa Usraeli kuwatoa utumwani misri!
Baada ya kukatisha bahari ya shamu kuelekea nchi ya ahadi kwa muda wa miaka 40! kijiografia kama Dar hadi Chalinze. Inakujaje hii?
Mimi nadhani hizi ni hadithi za kiroho kwa ajili ya kusapotia ama kuelimishia matendo mengine.
Ndiyo maana kila baada ya "somo", huwa kuna kutafasiri hadithi iliyosomwa. Ingekuwa siyo hadithi, ni historia, pasingekuwa na haja ya kufasiri baada ya kusoma somo.
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Kwa mtzamo wa kibidamu ni sawa kusema ni hadithi za kufikirisha tu kwa sababu hapo ndipo uwezo wetu wa kufikilia ulipofikia.

Ila katika ulimwengu wa kiroho hakuna kinachishindikana chini ya jua.

Na Mungu kafanya hivyo ili kumwonyesha binadamu uwezo wake ukoje na ili umtumaini yeye katika mazingira yoyote.

Kwamba kama ameweza kuwavusha wana Israel kupita katika bahari ya shamu, vile anaweza akavusha katika matatizo yote yanakukumba hapa duniani.

Ila kumbuka Mungu wetu ni Rohoni kwa hiyo mambo yake ni ya rohoni pia, ili kufahamu mambo yake inabidi na wewe uwe wa rohoni pia.

Kwa yule anae uliza how come miaka arobaini wakati umbali ulikuwa mdogo kiasi kile, sababu ni moja tu ni kwamba walimuasi Mungu hivyo azabu yao ilikuwa ni kutofika kaaani, ndio maana Mungu akawazunguza mpaka kile kizazi kikaisha kwa kufariki mmoja baada ya mwingine na kubakia watoto wao ambao ndio walivuka kwenda kaanani.
 
We shungurui we mwanamke au maana semi zako kama mwanamke asiyetafakari yaonesha hata hiyo habar ulioielezea huijui ispokua umekaririshwa.

Umesema mungu alifanya makusudi kuwapitisha mbali wana wa israel ili kumwonesha binadamu uwezo wake ukoje!!!

Je kwani huyo mungu hakujua kama uwezo wa binadamu aliemuumba ni mdogo hata atafute. Njia mbadala??

Je ni nini faida alipata kuwauwa wana wa israel jangwani kwan hapakuwa na njia nyingine kama kuwafundisha kuwaelekeza kuwavumilia
 


Hili nalo neno.
 
Wakati wa gharika Mungu aliwateketeza waovu wote, waliingia kwenye safina walikuwa safi,sasa hawa waovu wa siku hizi walitoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…