Ukilinganisha zamani na sasa utaona Iringa matukio mbali mbali yameongezeka ya ukatili dhidi ya watoto wanawake na wanaume pia ukifuatilia utakuta mwaka 2023 desember, 7 Mkuu wa mkoa wakati huo aliweka kuwa ajenda ya kudumu ili kuweza kutatua tatizo hilo.
Sasa,
Kwa upande wangu nilitaka tu share idea jinsi ya kuepuka ili tatizo na sio kuandika fact nyingi natumaini umenielewa