Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

CCM kurumbana sasa ruksa mzee wa kaya kasema....
 
Mbona hawatoi nafasi ya kupokea simu??? naona maswali ni ya Tido tu na email za kishuzi
 
Amesema wabunge wa CCM wajue wanawajibika kwa chama chao, wahakikishe kwamba serikali yao hairibikiwi kwa mijadala yao.
 
Let's give credit where it's due, Tido is asking tough questions
 
Bado dakika 45 kipindi kiishe... Manake wameenda half time!
 
dakika 45 zimekwisha bado shijapata jibu lolote la msingi toka kwa raisi wangu
 
wakuu sielewi mh jk anaongea au ndio anajibu, na simu wamesitisha kupokea, hakuna tena maswali
 
Kuna mtu ambaye amejifunza lolote jipya hadi hivi sasa? Maana I'm lost.....
 
Ufisadi umeingia TBC eti simu zimekata na sms sijui????????????? Bongo land moto huoooo
 
naona anapiga story tu na tido hamna la maana, kiu ya nchi hajatuliswa kabisa.
 
hamna maswali kwa simu tena box imejam

Nimejaribu line mara kama 50 hivi mpaka nika-give up!

Email yangu najua haiwezi kusomwa, lakini swali la papo hapo angelijibu labda.

Naona anaulizwa kuhusiana na ucheleweshwaji wa kesi za EPA. Anakiri ni tatizo la kweli
 
Back
Top Bottom