Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hehehehehe...huyo Msukuma kaniacha hoi na lafudhi yake!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijua ataulizwa juu ya Maji, Barabara, Umeme, nyaraka, Reli, Zombe na Ufisadi.
Hakuna alomwuliza juu ya "Maisha Bora" na "Mfumuko wa bei"
Hayo ndio mafanikio mwanakwetu...kuomba fedha kwa kila mradi wa barabara!!
Sawa mzee McCain Nyani, wewe zungu, tuache miafrikaIla kila barabara ujenzi wake lazima tupewe misaada? Gademu Miafrika tunaboa!!!
Kuhusu Richmond mnamsoma?
Sawa mzee McCain Nyani, wewe zungu, tuache miafrika
Katika majibu yake tu..unaweza kujua wazi kuwa Kikwete ni muoga...kuna watu wanafanya Uizi/Utapeli wa waziwazi na wanajua kuwa Kikwete hawafanyi chochote...katika kila majibu yake anataja kuwa wakubwa wanahusika...hao wakubwa zaidi yake ni akina nani? Huyu jamaa ni mbabaishaji..Tunataka kiongozi mwenye guts...sio huyu wa kulalamika na mtu wa kutaka kuonewa huruma!