Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

SIO haki kumlaumu (Salva) kama kweli yupo hapo Ikulu na hayupo Masomoni nje !!

Jamani, kiongozi mwenyewe si ndiye anayetakiwa kuhakikisha kila kitu kiko fyee. Mbona Kagame hazungumzi na mtu hufanya vitendo tu na sikuzote kambi yake haina wababaishaji na wavurugaji maana hawacheleweshi kwenda pale wanapopaweza.

Kuna washika dau kadhaa waliokuwemo ikiwa ni pamoja na Bri Kibanga, Ikulu, Uncle Tiddo, TBC, Washikaji Clouds FM na wengineo. Je, wote walishindwa kuhakikisha kuwa wanafanya kitu kiwe mfano wa kuigwa na wengine ?

Lakini kama vijana kwa kuwa Ikulu au Kwa Waziri Mkuu wanawadharau wale waliowafundisha kazi na hawataki tena ushauri toka kwao wewe unategemea nini. Watu wanaweza kuwa wakubwa ndio wakawa wadogo kabisa kimawazo na kifikra. Walijua hilo ?

Halafu hukusoma ile makala ya Mwananchi nadhani mwandishi ni Anko Makilla aliyekuwa Business Times zamani juu ya Wavuti za serikali-kamwaga wazi yanayotakiwa kufanywa lakni ndiyo hivyo sijui hata kama jamaa wamepata nafasi ya kusoma maani serikalini ngumi za chini kwa chini na chamani mateke juu kwa juu basi tutegemee nini kutoka kwao. Unaambiwa hii leo Watanzania wanamtegemea Mungu tu na sio viongozi wao.
 
wauliza maswali hawakupewa maswali ila wana CCM wengi wamejionyesha tena kwamba wao CCM ndiyo ya kwanza badala ya Tanzania .Sasa anajipigia kampeni sasa . Wacha tumsikilize sisi .


Kama ulikuwepo CCM walijiandaa na wamepiga bao. Sasa inaonekana JK amevunja rekodi....hasa ile ya kuwa karibu na wananchi.
 
Invisible

hii programme haiendelei next week mana JK kasema tutaendelea mbele ya safari..au kamaanisha nini?

@ Nyani abiziani, thanx for the link mana nimeweza kusikiliza sauti ya JK.

Wala usitarajie aongee kesho wala keshokutwa, kampeni zikikaribia atajaribu (huenda)
Aliulizwa swali la kagoda tena mwulizaji akamwambia wahusika ni rafiki zake ndio maana anawakumbatia, hakujibu akang'ang'ania richmonduli.
Yeah, swali nililisikia lakini nikashangaa hakuongelea Kagoda akajikita Richmond.
Nani angeulizwa wakati simu dar zilikuwa hazipatikani?
Bado nina imani na rais wangu, naamini tutajikwamua tu, ni mapenzi ya Mungu tu mambo hayajanyooka lakini Inshallah, Mungu akijaalia basi tunaweza kuanza kuyaona maisha Bora kwa kila Mtanzania
 
With all due respect. You actually sat and listened/watched him? You know if you listen/watch the guy you might catch the giggling habit too lol.
 
next year election jamaa anaosha p kwa kuwa karibu na wananchi,......
 
nimeamini kweli Rais wetu ni msanii, yaani anawaomba radhi wananchi wapenzi wa mpira kwa kuwaTV zilikuwa zinaonyesha hotuba yake siyo mpira wa ulaya😕

Halafu anamwambia Tido 'siku nyingine nitakapoomba nafasi usininyime 😕 Yaani Tido awe na uwezo wa kamnyima Rais nafasi kwenye TV ya Taifa?

Anyway, ni hatua nzuri ya kuzungumza na wananchi hasa baada ya mitoko mingine kugoma mfano ile ya Mawaziri kutoa taarifa kila wiki, hotuba za kila mwezi nk.
 
Huu ni mwanzo mzuri wa JK kufukia mashimo. Tido tumkubali sana kwenye kazi yake. Wanabodi, pamoja na maroroso yote ya JK na serikali yake, anapofanya mazuri tuacknowledge. JK ameonyesha uwezo mkubwa kujieleza, akiendelea hivi, 2010 ni ushindi wa kishindo kikubwa, big plus to his ratting. Asante Invisible pia.
 
JK anasema kama ni yeye basi shule za kata asingeziingiza kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM lakini kwakuwa CCM anayegombea haandai ilani basi hana budi kuitekeleza.

The president and party chairman is openly throwing his party under the bus, no collective responsibility at all. Sasa amefanya nini kuonyesha uongozi wake katika hili, katika kubadili muelekeo na kuwaeleza wananchi sababu?

Sasa kama hawezi kuongoza si ajitoe CCM?

Yaani Kikwete habebeki!
 
I think JK akiendelea hivi sio tu atajua nini watu wanatunza ndani ya roho zao, bali atajifunza kuongoza ni lazima uwe karibu na watu. Viongozi wengi wamekuwa waamrishaji tu kama watanzania wote ni watoto wa shule za chekechea. Na baadhi ya maswali yamekuwa mazuri na yametoa picha ya fikra za watu zikoje juu yake na usanii wa ufisadi
 
Back
Top Bottom