Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 137
JK ametoa weakness kubwa ya CCM kwamba mgombea haruhusiwi kuhusika ktk kazi ya kuandaa ilani ya uchaguzi. Pia ame-disown ilani anayoitekeleza sasa. Kwamfano anasema ingekuwa ilani imeandaliwa naye asingeweka suala la Sekondari kila kata.
Binafsi naona amekuwa muungwana kuonyesha tatizo/matatizo yanayotokana na ilani hiyo.
Hamna "uungwana" wowote hapa, unless unapoongea "uungwana" una maanisha "uungwana" negative as in the weakness of a "gentleman's degree"
Unapopewa platform kugombea nayo, si lazima ukubaliane nayo, ukiikataa kwa vile kuna tofauti kati ya maoni yako na ilani ya chama, unaacha kugombea kwa tiketi ya chama hicho, la sivyo ukikubali, huwezi kui-disown hiyo platform/ ilani.
Ni kama vile mtu kakuandikia document, ukaikubali na kuitia sahihi, halafu watu wanakuuliza kuhusu contents unasema jamani mimi kama ningeandika ile document nisingeandika vile.
Usingeandika vile wakati wewe ndiye uliyekuwa candidate?
Mnaona Kikwete alivyo mtupu na anavyotaka kutoa visingizio vya kipuuzi kabisa?