Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

JK ametoa weakness kubwa ya CCM kwamba mgombea haruhusiwi kuhusika ktk kazi ya kuandaa ilani ya uchaguzi. Pia ame-disown ilani anayoitekeleza sasa. Kwamfano anasema ingekuwa ilani imeandaliwa naye asingeweka suala la Sekondari kila kata.

Binafsi naona amekuwa muungwana kuonyesha tatizo/matatizo yanayotokana na ilani hiyo.

Hamna "uungwana" wowote hapa, unless unapoongea "uungwana" una maanisha "uungwana" negative as in the weakness of a "gentleman's degree"

Unapopewa platform kugombea nayo, si lazima ukubaliane nayo, ukiikataa kwa vile kuna tofauti kati ya maoni yako na ilani ya chama, unaacha kugombea kwa tiketi ya chama hicho, la sivyo ukikubali, huwezi kui-disown hiyo platform/ ilani.

Ni kama vile mtu kakuandikia document, ukaikubali na kuitia sahihi, halafu watu wanakuuliza kuhusu contents unasema jamani mimi kama ningeandika ile document nisingeandika vile.

Usingeandika vile wakati wewe ndiye uliyekuwa candidate?

Mnaona Kikwete alivyo mtupu na anavyotaka kutoa visingizio vya kipuuzi kabisa?
 
Aibu hata JF inaonekana kununuliwa na CCM, CHADEMA et al. Upuuzi kama huu ambao uko staged unaingiaje hapa?
 
Aibu hata JF inaonekana kununuliwa na CCM, CHADEMA et al. Upuuzi kama huu ambao uko staged unaingiaje hapa?

Ndugu yetu,

either hujaeleweka au huelewi!!! Kuwa muwazi zaidi mazee
 
Huu ni mwanzo mzuri wa JK kufukia mashimo. Tido tumkubali sana kwenye kazi yake. Wanabodi, pamoja na maroroso yote ya JK na serikali yake, anapofanya mazuri tuacknowledge. JK ameonyesha uwezo mkubwa kujieleza, akiendelea hivi, 2010 ni ushindi wa kishindo kikubwa, big plus to his ratting. Asante Invisible pia.

....rubbing salt into our wounds, eh?
 
... IT IS !!!! a few times I caught myself gigling at how the jamaa was giggling 😡before answering questions !!!

To me it was rather annoying! I caught myself frowning and shaking my head in disgust each time he giggled
 
To me it was rather annoying! I caught myself frowning and shaking my head in disgust each time he giggled

...I did that too, mkuu! My giggling was more on the sarcastic side than anything...!!!
 
Amesema wabunge wa CCM wajue wanawajibika kwa chama chao, wahakikishe kwamba serikali yao hairibikiwi kwa mijadala yao.

This guy is a bigger joker than I thought, kwanza yeye anachochea beef kwa kukitupa chama under the bus with the ilani issue, halafu anafikiri ana moral authority ya kuwaambia wabunge kwamba wanawajibika kwa chama chao.

Yeye alipoitupa ilani under the bus alikuwa anawajibika kwa nani?
 
Huu ni mwanzo mzuri wa JK kufukia mashimo. Tido tumkubali sana kwenye kazi yake. Wanabodi, pamoja na maroroso yote ya JK na serikali yake, anapofanya mazuri tuacknowledge. JK ameonyesha uwezo mkubwa kujieleza, akiendelea hivi, 2010 ni ushindi wa kishindo kikubwa, big plus to his ratting. Asante Invisible pia.

Nilijua tu. Hata Mzee Hugo Chavez huwa atumia style hii na kuwachota wengi.
 
Kuhusu Zombe amesema kwamba serikali imekata rufaa, wanaamini kwamba akina Zombe walikuwa na hatia

Haoni kama kwa rais kusema katika nchi ambayo rais ana nguvu sana tayari ana influence kesi? Jamaa uwezo wake wa kufikiri si mkubwa sana.
 
Tido anasema wameshapata maswali takribani 2,500 ya sms na karibu emails kama 500 hivi.

JK anasema atawajibu mmoja baada ya mwingine hata baada ya kipindi.

Atatafuta namna nyingine ya kujibu maswali baadae hata isipokuwa kwa njia ya Television
kwani maswali hayo yote 2,500 na hayo 500 tofauti si yalitakiwa kuchjwa kabla na kama swali linafanana na lingine linaunganishwa hili yote yale muhimu ya jibiwe wakati huo alipokuwa live?
 
It attracts a lot of Votes..
Oh, mkimwangalia mjue mmepigwa limbwata ya kura. Next year mnajipeleka wenyewe kwenye ballot..vote JK! Ohoooo.
mimi nimepigiwa simu out of nowhere, oooh msikilize president radio maria. Kuunganisha nasikia anaongelea waraka...akachekacheka....nikaona duuh, ngoja niangalie Scotland vs Netherlands, nikijua JK atajoin hehee...kumbe kweli kawasanifu anaulizia mechi za Ulaya. Daaaamn, you gotta love the guy!
 
Hamna "uungwana" wowote hapa, unless unapoongea "uungwana" una maanisha "uungwana" negative as in the weakness of a "gentleman's degree"

Unapopewa platform kugombea nayo, si lazima ukubaliane nayo, ukiikataa kwa vile kuna tofauti kati ya maoni yako na ilani ya chama, unaacha kugombea kwa tiketi ya chama hicho, la sivyo ukikubali, huwezi kui-disown hiyo platform/ ilani.

Ni kama vile mtu kakuandikia document, ukaikubali na kuitia sahihi, halafu watu wanakuuliza kuhusu contents unasema jamani mimi kama ningeandika ile document nisingeandika vile.

Usingeandika vile wakati wewe ndiye uliyekuwa candidate?

Mnaona Kikwete alivyo mtupu na anavyotaka kutoa visingizio vya kipuuzi kabisa?

Bluray!
Nakushukuru sana kwa kuliona hilo. Nilishasema tangu siku nyingi, The president in the name of JMK aka Matonya 'is not serious' lakini watu walio wengi hapa JF wamekaidi na kuona kama ni kumdhalilisha. Ni kweli alikurupuka kukimbilia Ikulu pale magogni kutoka mtaa wa Migombani bila kuwa na kitu kinachomkera and for the past almost four years amekosa agenda na he just keeps on laughing and smiling.

Ni ukweli ulio wazi kama usiku na mchana kwamba Watz imekula kwetu kwa kumchagua huyu mhuni wa Kikwere. Historia itatuhukumu labda tutubu dhambi ya kusema ni chaguo la MuNGU!

Hiyo awamu ijayo ya uchaguzi sijui atatudanganya na kitu gani? Lakini as usual hatutaki kusimama kifua mbele na kusema hatudanganyiki like that small girl!
Kuna wakati mmoja Agustino Lyatonga Mrema mzee wa kiraracha aliwahi kuanzisha peoples power kwenye awamu ya Ruksa na pale mnazi mmoja ilikuwa pajengwe jengo na mwarabu mmoja lakini wakazi wa Dar waliamka siku moja na kubomoa ule wigo na baada ya muda wa nusu saa hapakuwepo kitu kilichobaki.
Nina imani kwa kiwango cha ufedhuli walichofikia hawa wapuuzi wa CCM kuna haja ya wananchi kuamka kwa staili hiyo na kuwaondoa madarakani/maofisini watu kama Tido na kukaidi openly uharamia wa CCM hata kule Ngongoro kuna haja ya kuwatimua wawekezaji kama Ortelo kwa kutumia peoples power kwani the whole GVt. machinery imeshanunuliwa na kuwekwa mfukoni. This is the only way vinginevyo the ballot box shall return them to power come sun come rain!!
 
Oh, mkimwangalia mjue mmepigwa limbwata ya kura. Next year mnajipeleka wenyewe kwenye ballot..vote JK! Ohoooo.
mimi nimepigiwa simu out of nowhere, oooh msikilize president radio maria. Kuunganisha nasikia anaongelea waraka...akachekacheka....nikaona duuh, ngoja niangalie Scotland vs Netherlands, nikijua JK atajoin hehee...kumbe kweli kawasanifu anaulizia mechi za Ulaya. Daaaamn, you gotta love the guy!
achana na msanii lete matokeo kaka..
 
achana na msanii lete matokeo kaka..
kuna dogo anaitwa Elia kawatungua scotland. 0-1 to holland.
England wanapata bichwa, so far 4-1 against Crotia. Eduardo kafunga sasa hivi. Ila England tayari wanaimani watachukua world cup. Kama vipi mpigie simu JK nadhani atakuwa na matokeo mengine. lol
 
Ebanaaaa,

Nimefikiria 2010 tukimweka 'Live' kwenye mdahalo na mpinzani kama Lipumba anaweza kupata wakati mgumu.

Ngoja nimsikilize zaidi, barabara amemaliza ameingilia kwenye issue ya maji?

Nna hakika hata 2005 hii midahqlo huyu jamaa aliikimbia sana yaani. He won't survive. Itawa kama Kanumba katika Revolution!
 
kuna dogo anaitwa Elia kawatungua scotland. 0-1 to holland.
England wanapata bichwa, so far 4-1 against Crotia. Eduardo kafunga sasa hivi. Ila England tayari wanaimani watachukua world cup. Kama vipi mpigie simu JK nadhani atakuwa na matokeo mengine. lol
daah 4 - 1 Hii habari njema kwa JK..sina voucher za mchezo labda ni bipu..JK alihusika kwenye issue ya Richmond....
 
Back
Top Bottom