Maswali magumu ambayo wanaume huwa wanauliza wanawake

[emoji30] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji30]
 
Kwanza swali la 2 liwe la 1
Hila kuhusu bikira lina umuhimu sana kwa mila zetu za kiafrika
 
Mwanaume anayemuuliza mwanamke hayo maswali atakuwa na chembechembe za kike katika ubongo wake
 
Aisee, kumbe huwa yanaumiza. Lakini kwa nini hayo maswali yawe ya upande mmoja pekee? Ke kwa nini msichague baadhi ya maswali na kuwauliza Me ili kuona reaction/response ikoje.

Ingawa naona mengine hayana maana zaidi ya kujitafutia presha bure, umempenda amekubali, assume wewe ndio mwenyewe jilie vitu, hayo ya huko nyuma kama ulishindwa kuyatafutia majibu walau kimya wewe mwenyewe basi tena, haisaidii kitu.

Pole cutelove , naamini wamekusoma, hawatakuuliza tena. Kama vipi ukitaka kuanzisha mahusiano mapya, mwekee masharti mezani, mfano sitaki kuulizwa maswali 1-20, na wewe mueleze hutamuuliza pia, then afanye uamuzi.
 
Hua katika vitu sipendi nikuulizwa na kuuliza habari za ex, Mimi tunaanzia pale tunapokutana kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…