Maswali magumu ambayo wanaume huwa wanauliza wanawake

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
1) Tangu uanze kujua wanaume mimi ni wangapi?

2) Aliyekutoa bikira kweli unaweza kumsahau?

3),Ulitolewa bikira ukiwa na umri gani?

4,)Mwanaume aliyekuwa nae alikukosea nini ili na Mimi nisije nikakusea kama yeye

5),Ukinikuta na mwanamke nachepuka utanifanyaje?

6)unahisi nini au unakumbuka nini au wapi unapokuwa na mimi?

7) Haya mapigo yangu ninayokupa umeyakubali kiasi gani( mapenzi)?

8) Wewe ni mzuri sijui nikufananishe na nani Hamisa,Zari,wema au Jokate? chagua mwenyewe

9) Nikikufanyia kitu fulani utanisaliti?( Labda zawadi au style fulani sita kwa sita)

10) Unaomba hela ufanyie nini?

Haya maswali huwa ni magumu kuyajibu na huwa nakereka kuulizwa maswali ya hivi
 
Yajibu tu mkuu japo mim sina huo muda wa kuuliza kwani nitaumia tu
 
1) Tangu uanze kujua wanaume mimi ni wangapi?

2) Aliyekutoa bikira kweli unaweza kumsahau?

3),Ulitolewa bikira ukiwa na umri gani?

4,)Mwanaume aliyekuwa nae alikukosea nini ili na Mimi nisije nikakusea kama yeye

5),Ukinikuta na mwanamke nachepuka utanifanyaje?

6)unahisi nini au unakumbuka nini au wapi unapokuwa na mimi?

7) Haya mapigo yangu ninayokupa umeyakubali kiasi gani( mapenzi)?

8) Wewe ni mzuri sijui nikufananishe na nani Hamisa,Zari,wema au Jokate? chagua mwenyewe

9) Nikikufanyia kitu fulani utanisaliti?( Labda zawadi au style fulani sita kwa sita)

10) Unaomba hela ufanyie nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana sio kwa kuhesabu huko.ila hata uongo si unasema kuw bikira ilitoka bahat mbaya
Na kwa nini uulize? Ili ugundue nini[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Halafu kwanza mwanaume unaejielewa utaulizaje maswali ya kisengererma kiasi hicho..
 
Hayo ni maswali ya wavulana kwa wasichana. Na hatua inayofuata ni kukagua/kubadilishana simu.. (kumbafu)

Mwanaume maridhawa anafanya uchunguzi kwa namna sahihi na mapungufu ya mchumba ni changamoto ambayo unaitumia kuonyesha ukomavu ktk safari yenu ya mahusiano. Kuna wakati mwanaume unatakiwa utengeneze mwenza kwa hatua za makusudi ili kupata mahusiano yatakayodumu kwa muda mrefu ikibidi.
 
Back
Top Bottom