firstcollina
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 349
- 23
who are you???jk is clean and will prevail.
His current situation is very similar to that of obama in november, but after all being said and done, jk will triumph and prevail.
That is the sign he'll be cleaning the whole house big time! New fellas, new blood, and fresh start.
Tanzania will prosper
Tunachosema huku mtaani ni kwamba JK amejiona yeye na familia yake ndio walio wasafi na wengine wote waliobaki wanatuhumiwa kwa ufisadi. Sasa chama chetu ccm kina ndg zetu kibao ambao kwa kunyimwa ulaji katika kipindi hiki cha campaign kumetuathiri sana kimapato. Fikiri kuna zaidi ya bil 50 zilizochangwa achilia mbali zile tulizokwapua serikalini kwa usiri mkubwa zinazokaribiana kwa kiwango, Jk na familia yake ndo wanazifaidi kwa kugawana kama posho za safari na ganji linalobaki baada ya kugawa rushwa kwa walengwa wanazigawana wao kwa wao. Hivyo kwa sababu wamekigeuza chama chetu kuwa cha kifamilia tumeazimia kukinyima kura na tutazipeleka kwa Dr Slaa, japo sisi ni ccm damu damu. Eeh!! hii familia sii imeamua kumwaga ugali? basi sisi tutamwaga mboga ili tukose wot.
Naomba maoni ya jinsi mnavyoiona hali halisi huko mtaani:
Hivi Riz1 na mama yake kweli wanamsaidia JK au ndiyo wanamharibia???
Mfano, JK alikuwa Iringa ikasemekana amevunja makundi kati ya Mwakalebela na Mbega. Sasa inakuwaje Riz1 naye anakwenda kufanya kazi ileile. Je hii ina maana baba yake hakufanikiwa?? Je wazee wa CCM wameshindwa kufanya hiyo kazi badala yake busara ya kijana inahitajika??
Riz1 amekwenda Mbeya amepewa uchifu. Je Wanyakyusa wamelionaje hili?
Inaposemeka kuwa Mama Salma anatumia mali ya umma kwa kampeni za kifamilia na kutoa ahadi kibao, hii si nikumharibia JK??
Pia, inapoonekana Baba, Mama na Mwana wanajipigia debe kurudi Magogoni bila kuwashirikisha wakongwe na vigogo wa CCM, je waTZ wanaionaje hii!!
Inapo............................Naona yapo mambo kibao. Tuanze na haya kwa sasa
The worst president ever! Habari ndiyo hiyo