Elections 2010 Maswali Magumu: Kikwete wa mtandao kageukia familia?

Elections 2010 Maswali Magumu: Kikwete wa mtandao kageukia familia?

Has proved his weakness toward UFISADI. Na hapo ndipo alipofanya kosa kubwa sana. Ku-prove weaknesses!

For the above reason, mimi kura yangu simpi!

Kura ya ndiyo huenda kwa mtu shupavu, mwenye sifa za Ujasiri, Muwazi, Asiye na woga wala aibu, mwenye uwezo wa kupambanua mambo kwa kina, wala sii hivyo tu bali mwenye ujasiri wa kukemea uovu na kutetea rasilimali za watanzania kwa manufaa ya taifa zima. Hizi ni sifa za mtu thabiti kama Dr. SLAA
 
Hata JK akishindwa kwenye uchaguzi dogo atakuwa ametanua vya kutosha! Kutalii nchi nzima kwa pesa ambayo siyo yako si lelemama!!
Akina Msekwa mbona kimya sana, au sio maarufu kana huyo Ridhiwani?
 
Tunafilisiwa uchumi wetu kwa hulka ya mtu anayependwa kutaka kurudi madarakani. Kama anapendwa kweli sasa hizo gharama zooote za kampeni ni za nini?
Naamini hawajui watendalo hao wahuni waliomzunguka including mkewe na wanawe
 
Baada ya uchaguzi na JK kushinda, Ridhwan atakuwa Balozi wa Tanzania nchi za nje na Salma atakuwa mbunge mteule wa Rais na atakuwa waziri wa fedha, uchumi, familia na burudani.
 
fear of losing power as ccm is fast becoming a family party.........
 
jk is clean and will prevail.
His current situation is very similar to that of obama in november, but after all being said and done, jk will triumph and prevail.
That is the sign he'll be cleaning the whole house big time! New fellas, new blood, and fresh start.
Tanzania will prosper
who are you???
No wonder your name raj patel jr.........you must be kikwetes own blood brother!!!
 
Hakuna mtandao wa staili ile ya 2005 tena. Ule ulikuwa ni mkakati wa Lowassa! Ila kwa media bado unaendelea kwa staili ile ile wakiwemo akina Muhingo Rweyemamu na "sauti ya Ahmed Kipozi" (kwa vipindi maalum vtya CCM katika TV). Halafu ule mtandao ulimsumbua sana JK baada ya kuingia katika jumba kubwa. Kuna walioulaani ulikuwa unataka kujinufaisha kwa vyeo. Pia ulikuwa unataka kuwamaliza wengine kisiasa! ILA UKWELI NI KWAMBA UMEKUFA KIFO ASILIA INGAWA KILA MGOMBEA WA CCM ANAJARIBU KUTENGENEZA MTANDAO WAKE.
 
Naomba maoni ya jinsi mnavyoiona hali halisi huko mtaani:

Hivi Riz1 na mama yake kweli wanamsaidia JK au ndiyo wanamharibia???

Mfano, JK alikuwa Iringa ikasemekana amevunja makundi kati ya Mwakalebela na Mbega. Sasa inakuwaje Riz1 naye anakwenda kufanya kazi ileile. Je hii ina maana baba yake hakufanikiwa?? Je wazee wa CCM wameshindwa kufanya hiyo kazi badala yake busara ya kijana inahitajika??

Riz1 amekwenda Mbeya amepewa uchifu. Je Wanyakyusa wamelionaje hili?

Inaposemeka kuwa Mama Salma anatumia mali ya umma kwa kampeni za kifamilia na kutoa ahadi kibao, hii si nikumharibia JK??

Pia, inapoonekana Baba, Mama na Mwana wanajipigia debe kurudi Magogoni bila kuwashirikisha wakongwe na vigogo wa CCM, je waTZ wanaionaje hii!!

Inapo............................Naona yapo mambo kibao. Tuanze na haya kwa sasa
 
Tunachosema huku mtaani ni kwamba JK amejiona yeye na familia yake ndio walio wasafi na wengine wote waliobaki wanatuhumiwa kwa ufisadi. Sasa chama chetu ccm kina ndg zetu kibao ambao kwa kunyimwa ulaji katika kipindi hiki cha campaign kumetuathiri sana kimapato. Fikiri kuna zaidi ya bil 50 zilizochangwa achilia mbali zile tulizokwapua serikalini kwa usiri mkubwa zinazokaribiana kwa kiwango, Jk na familia yake ndo wanazifaidi kwa kugawana kama posho za safari na ganji linalobaki baada ya kugawa rushwa kwa walengwa wanazigawana wao kwa wao. Hivyo kwa sababu wamekigeuza chama chetu kuwa cha kifamilia tumeazimia kukinyima kura na tutazipeleka kwa Dr Slaa, japo sisi ni ccm damu damu. Eeh!! hii familia sii imeamua kumwaga ugali? basi sisi tutamwaga mboga ili tukose wot.
 
Waswahili husema: Hasira Hasara!!!
 
Naomba maoni ya jinsi mnavyoiona hali halisi huko mtaani:

Hivi Riz1 na mama yake kweli wanamsaidia JK au ndiyo wanamharibia???

Mfano, JK alikuwa Iringa ikasemekana amevunja makundi kati ya Mwakalebela na Mbega. Sasa inakuwaje Riz1 naye anakwenda kufanya kazi ileile. Je hii ina maana baba yake hakufanikiwa?? Je wazee wa CCM wameshindwa kufanya hiyo kazi badala yake busara ya kijana inahitajika??

Riz1 amekwenda Mbeya amepewa uchifu. Je Wanyakyusa wamelionaje hili?

Inaposemeka kuwa Mama Salma anatumia mali ya umma kwa kampeni za kifamilia na kutoa ahadi kibao, hii si nikumharibia JK??

Pia, inapoonekana Baba, Mama na Mwana wanajipigia debe kurudi Magogoni bila kuwashirikisha wakongwe na vigogo wa CCM, je waTZ wanaionaje hii!!

Inapo............................Naona yapo mambo kibao. Tuanze na haya kwa sasa

Huo uchifu wa RIZI nadhani kapewa na Wasafwa ama Wandali sio Wanyakyusa!
 
..Mama Salma Kikwete anaweza kuwateka wanawake wakampigia kura JK.

..mpaka sasa hivi sijaona kama Chadema wanajaribu kuwafikia wanawake kama walengwa ktk kampeni zao.

..pia huwezi jua influence ya haya makundi ya muziki wa kizazi kipya yana influence gani kwa vijana wenzao huko vijijini.
 
Wanajitengenezea kakisiwa ..sijui watatokaje..
Yetu macho na masikio...
 
Baba Rais na mgombea kutetea nafasi hiyo kupitia ssm kwa kodi zetu
Mama anapiga kampeni kutetea kile anachofaidi, ni mme wa Rais na mgombea kutetea nafasi hiyo kupitia ssm kwa kodi zetu
Riziwani anapiga kampeni kutetea wanachofaidi, ni mtoto Rais na mgombea kutetea nafasi hiyo kupitia ssm kwa kodi zetu
Huyu Miraji kikwete sijui ni ni nani lakini kama si mtoto basi ni ndugu wa Rais na mgombea kutetea nafasi hiyo kupitia ssm kwa kodi zetu, huyu nasikia anashirikiana na watu wajuzi wa computer IT kwenye NEC ili kuchakachua matokeo ya Urais, si mmesikia kuwa matokeo yatatumwa kwa njia ya internet?

kazi kwetu, mwenye zaidi aongeze, habari ndo hiyo
 
Huyu JK anagombea urais kwa faida ya familia yake, hafai na lazima hili liwe ajenda ya Chadema. Waonyesheni wananchi namna Kikwete alivyo mbinafsi hadi urais anaufanya kuwa wa familia
 
mke wa rais/mke wa mgombea urais kuptia ssm, Mama Salma akerwa na Ilani ya CCM kutopembuliwa kichakachuaji utekelezaji wake, kwanini Ilani ya CCM kwenye eneo la kupunguza vifo vya watoto hakuna uchakuchuaji yakinifu, ili kuwaelemisha wapigakura mafanikio makubwa ya CCM kwenye eneo hilo.makamba , kinana mmelala??? Teteeni ugali, kalaga baho!!!!!!
 
Back
Top Bottom