Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
2005 ilikuwa ni Mtandao, Rostam, Lowassa, Sitta, Makinda na jamaa kibao wakipiga ngoma na kupuliza tarumbeta la Ari, Kasi na Nguvu mpya.
Mwaka huu ni familia, Chifu Ridhiwani na Mama Salam ndio wanachanja mbuga kila kona kupiga kampeni ya Urais.
What happened kwa mtandao wa kina Janguo, Mudhihir, Msabaha, Chenge, Apson na wengine waliotuletea chaguo la Mungu?
Kumetokea nini mwaka huu, mfalme anatembea pekee na kuonekana mnyonge na haamini mtu mpaka awekewe kinga ya giza na Sheikh Yahya?