Elections 2010 Maswali Magumu: Kikwete wa mtandao kageukia familia?

Elections 2010 Maswali Magumu: Kikwete wa mtandao kageukia familia?

2005 ilikuwa ni Mtandao, Rostam, Lowassa, Sitta, Makinda na jamaa kibao wakipiga ngoma na kupuliza tarumbeta la Ari, Kasi na Nguvu mpya.

Mwaka huu ni familia, Chifu Ridhiwani na Mama Salam ndio wanachanja mbuga kila kona kupiga kampeni ya Urais.

What happened kwa mtandao wa kina Janguo, Mudhihir, Msabaha, Chenge, Apson na wengine waliotuletea chaguo la Mungu?

Kumetokea nini mwaka huu, mfalme anatembea pekee na kuonekana mnyonge na haamini mtu mpaka awekewe kinga ya giza na Sheikh Yahya?
 
Hizo ndizo sign za down mkuu. Siku ikifika hata marafiki zako wakumbwa watakukimbia
 
2005 ilikuwa ni Mtandao, Rostam, Lowassa, Sitta, Makinda na jamaa kibao wakipiga ngoma na kupuliza tarumbeta la Ari, Kasi na Nguvu mpya.

Mwaka huu ni familia, Chifu Ridhiwani na Mama Salam ndio wanachanja mbuga kila kona kupiga kampeni ya Urais.

What happened kwa mtandao wa kina Janguo, Mudhihir, Msabaha, Chenge, Apson na wengine waliotuletea chaguo la Mungu?

Kumetokea nini mwaka huu, mfalme anatembea pekee na kuonekana mnyonge na haamini mtu mpaka awekewe kinga ya giza na Sheikh Yahya?

Huenda JK ameona na amekubali kuwa alitumiwa vibaya na wana mtandao (hatimaye na yeye kuonekana fisadi), sasa badala ya kuwategemea kama 2005 ameamua kusimama mwenyewe na familia yake.!! Ili aweze kusafisha nchi vizuri bila kulaumiwa na mtu...mhhh naona kama ndoto vile.

Ninachojiuliza, baada ya uchaguzi atajifungia na nani chumbani kupanga cabinet?

Ridhiwani atakuwemo kwenye Cabinet?
 
No wonder; haka kabwana mdogo kamepewa Uwakili na Jaji Mkuu kiaina; leo wanyakyusa wanamuhonga Uchifu; kesho baba yake atampa Uwaziri kama Birthday gift. Nchi hii kama ya kifalme vile...!!!

JK amekosa comfo na sasa anatapatapa kutafuta namna ya kujikomboa toka kwenye dimbwi la kushindwa au kutia aibu kwenye uchaguzi wa 2010. Anafikiria namna ambavyo atahonga ili walau aonekane ameshinda kwa kishindo. Anatafuta namna ya kurudisha mtandao lakini anajikuta akikosea as hana muda mwingine wa kumpandisha chati mwanae hasa ukizingatia kuwa hii ni lala salama; na hajui kama atageukwa na kupigwa chini na maswahiba wake ambao aliwasaliti kwa kuacha bunge liwagaragaze.
 
Angekuwa nao mngesema anakumbatia mafisadi, sasa hivi kaamua kuwapotezea mnasema amelosti. Mmeshachagua farasi wenu basi tusubiri huo mtanange, watu wapige kura, yaishe. Tuendelee kuongea mambo ya maana.
 
What is your point?
 
2005 ilikuwa ni Mtandao, Rostam, Lowassa, Sitta, Makinda na jamaa kibao wakipiga ngoma na kupuliza tarumbeta la Ari, Kasi na Nguvu mpya.

Mwaka huu ni familia, Chifu Ridhiwani na Mama Salam ndio wanachanja mbuga kila kona kupiga kampeni ya Urais.

What happened kwa mtandao wa kina Janguo, Mudhihir, Msabaha, Chenge, Apson na wengine waliotuletea chaguo la Mungu?

Kumetokea nini mwaka huu, mfalme anatembea pekee na kuonekana mnyonge na haamini mtu mpaka awekewe kinga ya giza na Sheikh Yahya?

Na iwapo ikatokea muujiza wa JK kushinda na ndipo akatokea Mbunge mmoja Chizi, kudai JK aongezewe muda wa kukaa madarakani ( Kama yule aliyedai katiba ibadilishwe ili Mkapa aendelee kugombea) nina wasiwasi kipindi hicho yaani 2015-2020 hata Familia HATAIAMINI.

Hiyo ndo KANUNI ya urafiki wa KINAFIKI. Ama kweli ukistaajabu ya JK, utaona ya SHEIKH Yahya.
 
Surely J.K. is a disappointmenr to any patriotic supporter who backed him in 2005. So his "Mtandao" has fizzled out.

In campaigning for Basil Mramba and Andrew Chenge who, on J.K.'s own instruction, have been accused in court for offences against the state, J.K. has demonstrated his inability to accept his role as the supreme defender of the Constitution and laws of this country. He is confused and if Parliament was to assemble today it would be obliged to pass a vote of NO CONFIDENCE IN J.K.

J.K. belittles the Richmond scandall which caused such huge losses to TANESCO resulting in electricity in Tanzania being the most costly in Africa. So he goes to his friend Edward Lowassa to try to whitewash him to go back to Parliament. These two should tell Tanzanians what happened between them and the con-men of fictitious Richmond Corporation P.L.C. before they ask us for our votes. Or else we vote Slaa and Chadema.
 
Angekuwa nao mngesema anakumbatia mafisadi, sasa hivi kaamua kuwapotezea mnasema amelosti. Mmeshachagua farasi wenu basi tusubiri huo mtanange, watu wapige kura, yaishe. Tuendelee kuongea mambo ya maana.

Mwanangu umetandika ngumi 500 kwa sekunde moja. :becky: :becky: :becky:
 
Mtandao chali wameparanganyika woote. laana ya Kambarage hiyooo
 
ujumbe wake uko clear mazee, huwa hatukosi cha kusema tukishaamua jambo
Kwa hiyo kama hayuko nao ndo nini sasa??inapoteza maana ya yeye kuwekwa na mafisadi na machungu aliyotusababishia 5 years ago?hebu fikiria,ni kweli hayuko nao tena au na wewe ndo wale wafuata mkumbo,anamkampenia chenge ambaye ana court order ya kuwa arrested,anamkampenia Mramba ambaye ana kesi ya kutumia madaraka vibaya na yeye JK amekuwa akitamba kuwa kuna vigogo kawapeleka mahakaman akiwepo Mramba anaye mkampenia!!!we Acid vp,sikuelewagi kabisa yan,nahisi utakuwa ni wale bendera fata upepo tu,huo ujumbe ambao uko clear ni upi sasa!!!!huo uko shallow sana,ila unaweza kuwa clear kwa watu wenye thin thinking capacity kama wewe.
 
Yaani we acha tu. Mzee amesusiwa kampeni.Imebidi familia iokoe jahazi maana kila mtu ni kama ameishiwa nguvu ya kumpigia kampeni JK. Nisichokijua ni kwanini wamemuacha ahangaike peke yake.
 
Mchungaji Kishoka,

Mtandao ulishasambaratika siku nyingi, tangu pale zilipotokea branch mbili za Mtandao Maslahi vs Mtandao Matumaini na ndipo minyukano ndani ya Bunge ilipoanza.

Within CCM watu wanaangalia 2015, na pia wana Mtandao waliobaki nao bado wanaangalia 2015. Jiulize leo hii akina Membe wako wapi? Membe alipita bila kupingwa nilitarajia kwamba angekuwa bega kwa bega akichanja mbuga kumsaidia JK. Mama Makinda alipita bila kupingwa nilitarajia angekuwa akipiga debe la JK. Ndani ya wana mtandao hao hao, kila mtu anaangalia move za JK na move za wana mtandao wengine ambao wanaiangalia Ikulu kwa uchu mara baada ya uchaguzi wa mwaka huu.

Kwa kifupi ni kwamba JK na mtandao wake ndio ambao wameivunja nguvu CCM. Kama ikipona mwaka huu, basi kuelekea uchaguzi wa 2015 tutaizika. Makundi ya wanaoangalia Ikulu kwa uchu mkubwa sana watanyukana wao kwa wao na kumalizana. Ili JK kujiweka kwenye safe position ya kutokuvutwa na kundi lolote, ameamua mwaka huu aitumie familia yake kuanzia kuzungusha fomu yake mpaka kwenye kampeni.

Kwanini hamjiulizi Mama wa Mipasho (Sofia Simba) ambaye ni Mwenyekiti wa UWT Taifa hasikiki kwenye kampeni, na badala yake Mama Kikwete ndo amekuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa kwa kofia ya Uenyekiti wa WAMA, maana ndiye anayezunguka Tanzania nzima kuhamasisha akina mama wa UWT kuipigia kura CCM. Benno Malisa wa UVCCM na akina Bashe, Nape Nnauye na wajumbe wengine wa Baraza Kuu la Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM hawasikiki wakizunguka kila kona ya nchi, lakini Riz1 kila siku yuko kwenye magazeti akiendesha kampeni na kutaka kuvunja kambi za kura za maoni.

Tatizo kubwa la siasa za makundi, liliasisiwa na Mtandao. JK anajua mbinu zote chafu walizotumia wana mtandao ili kumwingiza Ikulu. So, he is worried kwamba makundi ya kura za maoni yanaweza kumhujumu na kujikuta anajimaliza mwenyewe. Matokeo yake, ndio haamini mtu yeyote kwenye kampeni, zaidi ya familia yake.

Taratibu tunaanza kuona akina Makamba wanakuwa "mute" [sijamsikia kwenye vyombo vya habari kwa karibu wiki nzima sasa au akihojiwa habwatuki tena]. Kinana nae ameenda "mute", kuna ingizo jipya la Dr. Chegeni ambaye hatujui alipokutana na JK walisema nini na mara ghafla akaonekana kwenye TV kwamba yuko kwenye Timu ya Kampeni ya JK, na sijui hata kama uteuzi wake ulipitishwa na vikao rasmi vya chama.

Kuna tatizo kubwa sana, lakini yote haya yanayotokea ni matunda ya mbegu za siasa za chuki, makundi, na maji taka ambazo ziliasisiwa na wana Mtandao. So, JK is scared of Mtandao na ndio maana haamini mtu yeyote aliyekuwa kwenye mtandao au nje ya mtandao.
 
Surely J.K. is a disappointmenr to any patriotic supporter who backed him in 2005. So his "Mtandao" has fizzled out.

In campaigning for Basil Mramba and Andrew Chenge who, on J.K.'s own instruction, have been accused in court for offences against the state, J.K. has demonstrated his inability to accept his role as the supreme defender of the Constitution and laws of this country. He is confused and if Parliament was to assemble today it would be obliged to pass a vote of NO CONFIDENCE IN J.K.

J.K. belittles the Richmond scandall which caused such huge losses to TANESCO resulting in electricity in Tanzania being the most costly in Africa. So he goes to his friend Edward Lowassa to try to whitewash him to go back to Parliament. These two should tell Tanzanians what happened between them and the con-men of fictitious Richmond Corporation P.L.C. before they ask us for our votes. Or else we vote Slaa and Chadema.

JK is clean and will prevail.
His current situation is very similar to that of Obama in November, but after all being said and done, JK will triumph and prevail.
That is the sign he'll be cleaning the whole house big time! New fellas, new blood, and fresh start.
Tanzania will prosper
 
Angekuwa na nia ya kusafisha nyumba asingekubali watuhumiwa wa ufisadi au watu walio na kesi mahakamani wapitishwe. JK ni mateka wa mafisadi na hawezi kujinasua kutoka kwenye mikono yao. Anachofanya sasa ni kutojionyesha kwamba yuko very close na kundi fulani la wana CCM au wana mtandao. Lakini walio makini wanaona kila kitu.
 
Back
Top Bottom