Cybercurex
Member
- Jan 19, 2023
- 77
- 182
Ulimwengu ni nini?Vizuri kwa kunikosoa swali langu
Labda nikuulize upya kwanini ulimwengu upo hivi? Je ni kipi chanzo cha ulimwengu huu.
huyo anaesema Mungu hayupo?Mungu ambaye anataka wanadamu wote tuseme na tukiri yeye yupo,
Alishindwaje kuumba binadamu wenye Kujua yeye Yupo????
Mungu muweza wa vyote alishindwaje kuumba binadamu wasio jiuliza uwepo wake??
Kama Mungu anaweza yote ange ondoa ufahamu Akilini mwa wanadamu kusema "Yeye hayupo" na angeweka ufahamu wa sisi kukiri tu "yeye yupo"..
Hivyo mpaka kufikia binadamu wanahoji uwepo wa Mungu ina dhihirisha tosha kwamba huyo Mungu Hayupo....
AtheistsBinadamu yupi
huyo anaesema Mungu hayupo?
Ni ya kufikirisha. Hasa mstari uliotaja OrioniMungu ambaye anataka wanadamu wote tuseme na tukiri yeye yupo,
Alishindwaje kuumba binadamu wenye Kujua yeye Yupo????
Mungu muweza wa vyote alishindwaje kuumba binadamu wasio jiuliza uwepo wake??
Kama Mungu anaweza yote ange ondoa ufahamu Akilini mwa wanadamu kusema "Yeye hayupo" na angeweka ufahamu wa sisi kukiri tu "yeye yupo"..
Hivyo mpaka kufikia binadamu wanahoji uwepo wa Mungu ina dhihirisha tosha kwamba huyo Mungu Hayupo....
Jibu maswali hayo acha mbambambaLogical non sequitur, hayo maswali yanaweza kuulizwa na watu hata kama Mungu hayupo.
Pia, kutoweza kujibu hayo maswali si uthibitisho Mungu yupo, to the contrary, kutoweza kujibu maswali hayo kunaweza kuwa ushahidi kwamba Mungu wako hayupo.
Tatua Epicurean Paradox tujue yupo.
Kama hata umeielewa.
Napinga chanzo cha ulimwengu kwa sababu Hukijui na Hakuna anaye jua ila unalazimisha kwamba kipo,Labda ww unafikiri kwanini ulimwengu upo hivi?
Unafahamu kila kilichopo na umbo kinachanzo chake?
Kwanini kweny ulimwengu unapinga chanzo chake.
Nguvu inaweza ikawepo ila aliye iita hiyo nguvu Mungu ni nani??Mungu ni zaidi ya ufahamu kinachowaponza wengi ni kutumia akili kumjadili Mungu,unadhani ukisoma biblia Basi umeshamjua Mungu la hasha.kiufupi Mungu ni ufahamu ambayo ni very infinite, Mwanadamu ni sehemu ndogo ya ufahamu huo hutaweza kumjua Mungu simply kwa kutumia logic.By The way Binadamu tuna linear thinking Ambapo tuna starting point na end point.Na ndio Maana swali Kubwa la Binadamu, Mungu alitokea wapi Nani?, alimuumba? .Kwa mtindo huu huwezi kutoboa.Kimsingi Amini kwamba Kuna Nguvu Kubwa Katika ulimwengu wote inayotawala kila kitu isiyo na upinzani .
Hapa nimedokoa kitu🙏🙏Kwanza kabisa kabla ya kuangalia mtanange, kwa nini swali lako linauliza "nani"?
Huoni kwamba hata swali lenyewe lina kasumba ya kulenga kwenye jibu unalolitaka?
Ulimwengu unachanzo kwasababu kilicho na umbo lazima kiwe kimetengenezwa au kuubwaUlimwengu ni nini?
Kwa nini unafikiri ulimwengu una chanzo au ni lazima uwe na chanzo?
Hapo ndipo upotoshaji ulipo Ambapo umetawala kwenye Dini.Kimsingi watu wachache walibuni hiyo nadhariaNguvu inaweza ikawepo ila aliye iita hiyo nguvu Mungu ni nani??
Mungu hana chanzo.Napinga chanzo cha ulimwengu kwa sababu Hukijui na Hakuna anaye jua ila unalazimisha kwamba kipo,
Na chanzo hicho una kipachika jina Mungu.
Kama una amini hicho chanzo usicho kifahamu unachokiita Mungu kili jiumba chenyewe, Kwa nini ni vigumu wewe kuamini ulimwengu Hauku umbwa pia?
Yani una amini Mungu usiyemjua alijiumba mwenyewe ila huwezi kuamini ulimwengu ulijiumba wenyewe..
Labda na mimi niku ulize huyo Mungu ali umbwa na nani?,
Na aliye muumba aliumbwa na nani? Na aliye muumba, muumba wa Mungu aliumbwa na nani? Na aliye muumba, muumba wa muumba wa Mungu aliumbwa na nani???
Uki lazimisha ulimwengu una chanzo na mimi nalazimisha Mungu ana chanzo muumba wake pia.
Kama hujui umbo la Mungu, Umejuaje kwanza kwamba huyo Mungu yupo??Mungu hana chanzo.
Kwasababu hakuna ajuaye umbo la Mungu
Mungu hajaumbwa kwasababu yeye ndiye muumba wa viumbe vyote
Hata nikisema siwezi, hilo halithibitishi Mungu yupo.Jibu maswali hayo acha mbambamba
Sent using Jamii Forums mobile app
31 Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia, au kuvilegeza vifungo vya Orioni?
32 Je, waweza kuziongoza Sayari kwa wakati wake au waweza kuongoza Dubu na watoto wake?
Unahakikishaje kila kilicho na umbo lazima kiwe kimetengenezwa na kuumbwa?Ulimwengu unachanzo kwasababu kilicho na umbo lazima kiwe kimetengenezwa au kuubwa
Ulimwengu ni mjumuiko wa vilivyomo ardhini na juu ya ardhi.
sasa mtu ashajiita atheist aeleweshwe nini kama sio kupoteza muda tu. Yaani ni sawa na mtu ameamua kuwa kipa unamuambia afanye mazoezi ya Foward.Atheists
Point ni kutafuta ukweli uko wapi na hadithi za uongo ziko wapi.sasa mtu ashajiita atheist aeleweshwe nini kama sio kupoteza muda tu. Yaani ni sawa na mtu ameamua kuwa kipa unamuambia afanye mazoezi ya Foward.
Acha MBAMBAMBA ,jibu maswaliHata nikisema siwezi, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Na ninaweza kukuambia siwezi, kwa sababu Mungu hayupo.
Wewe huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Kama Mungu hayupo ,jibu haya maswaliKama hujui umbo la Mungu, Umejuaje kwanza kwamba huyo Mungu yupo??
Utasemaje hujui umbo la kitu, Halafu useme kipo???
Uko sawa kiakili kweli??
Atheism is not a choice, it is just an obvious conclusion of accepting the reality.sasa mtu ashajiita atheist aeleweshwe nini kama sio kupoteza muda tu. Yaani ni sawa na mtu ameamua kuwa kipa unamuambia afanye mazoezi ya Foward.