Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

Mwambie akuache kwanza
Tuko kwenye maombolezo hajui??
 
Kama JK anayoyasema ni kweli mbona JPM alipokuwa hai hakuwahi kukanusha hizo taarifa? Anakuja kuzikanusha JPM akiwa amelala
 
Yaani ule utetezi wenye akili walishafnya hitimisho na angalia uhalisia sasa
 
Nawe uliyepata muda wa kuandika huu upupu je?
 
Jiwe hata Nyerere angekuwepo angegombana naye, alikuwa na roho ya kwanini sana.
 
Maswali yako yakijinga
 
Ufala kujadili hoja zisizo na tija na zilizokwisha pitwa na wakati. Kama huna cha maana cha kunena ni bora ukakaa kimya!.
 
kikwete alipendekeza jina la jpm kuwa rais akifikiri atakapokuwa jpm rais atamtawala vizuri na kumwendesha kama alivyokuwa wizaravya ujenzi jpm aliposhika urais hakutaka kitawaliwa ndio nafikiri hapo msoga ndio ukaanza kumchukia
 
Kauli ya 'HAPA KAZI TU' ilitungwa na Marehemu Ruge Mutahaba akishirikiana na January Makamba..

Hili waliliongea wazi Makamba na Ruge wenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…