MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,929
- 3,710
Mstaafu amejikanganya mno ila simuhukuku kwa maana sikuona mahala ameandika au amekusudia kufanya vile.
Kwa mfano mimi najua Rais anapoingia madarakani ni moja kwa moja anaanza kutekeleza ilani ya chama bila kuzingatia ni awamu ipi.
Lakini mstaafu anakwambia ukiachana na awamu ya kwanza,ile awamu ya pili ndiyo ya kufanya kazi ili kuacha legacy.
sasa ina maana mambo yote aliyofanya magu awamu yake ya kwanza kwake haoni kama ni ya kuacha legacy na ndio maana hakuweza hata kuyagusia katika hotuba yake.